Zuberi mwombeji na mkutano wa cuf arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zuberi mwombeji na mkutano wa cuf arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpinga shetani, Oct 1, 2012.

 1. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,263
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Yule afisa wa polisi Zuberi Mwombeji anayesifika kwa kupambana na Chadema Arusha. jumapili iliyopita aliongoza maandamano ya CUF kutoka kisongo hadi Arusha mjini.
  Mwombeji pia alibaki kwenye mkutano pale levolosi kama mlinzi mwaminifu.
  Zamani nilidhani anapambana na upinzani kumbe anapenda CUF. Eh, hapana, sijazungumzia udini hapa. Teh!
   
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  C c m b
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  apende.....ailavu.....aiadmae......yote tisa......kumi nguvu ya umma ndio inayoamua..........
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Seif maalim ni Gamba..wao maandamano ni amani,kwa chadema ni INTELIJENSIA IMEKATAZA
   
 5. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,039
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  ukitaka kujua idadi YAO angalia mikutano ya CUF.There was no reason kugomea sensa
   
Loading...