Silinde umeweka rehani jimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Silinde umeweka rehani jimbo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIQO, Sep 23, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Wapiga kura wa Tunduma jimbo la Silinde tumekosa umeme siku 13 mfululizo tunampigia mbunge wetu anatujibu utumbo wapiga kura wake eti fuatilieni mambo yenu kwa vile umehamishia makazi Dar ndo utusahau wapiga kula? Chama tuna kipenda ila wewe 2015 ukigombea jimbo tunarudisha kwa magamba kwa kura za hasira.
   
 2. L

  La Voz Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani wewe boya kweli mbunge amekuwa customer care wa tanesco? Pigeni tanesco acheni uzuzu
   
 3. C

  CDM Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wewe unampigia Mbunge badala ya Tanesco??bora nenda Magamba unafikiri kwa Masaburi
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kazi ya mbunge ni ipi nyie wanafiki hapo juu
   
 5. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kazi za TANESCO ni zipi we mzushi?
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Hata me nimemshangaa sana huyu jamaa!!!!!!
   
 7. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA kazi imewashinda. wanajua umbea wa kukosoa tu utadhani wao no perfect. Uongozi siyo mchezo wa kuropoka kama u sanii na u JD. Baba paroko bwana Harusi babu na wa jukuu upo?? People poor or people power
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  Unataka kusema mbunge wako ndio muajiriwa wa Tanesco? kweli wewe ni Tigo
   
 9. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,298
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Wee ****, hiyo siyo kazi ya mbunge kabisaa. Mbunge mngempa madiwani wengi hapo tungesema labda mnataka ailazimishe halmashauri inunue Jenerator. Otherwise, Shilinde anajitahidi sana yule mheshimiwa. Anahangaika sana kuwasaidia nyie watu wa mbozi
   
 10. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mambo mengine kuanzia usoni yanaonekana tu ni uongo. Silinde amewajibu hovyo!?
   
 11. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mzee wa madokomenti upo?
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Acheni unazi wa kijinga matatizo ya wananchi jimboni nani mwakilishi anapaswa kuyapeleka serikalini?
   
 13. M

  Malila JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa kujengewa line/kuunganisha umeme toka Mby/Mbozi kuja Tunduma tungekuunga mkono kwamba kweli tunahitaji nguvu ya mbunge wetu. Sasa kukatika umeme nako tunamtaka Mbunge akafuatilie, kwani meneja wa Tanesco Kanda yenu amewajibu nini? Je mmewauliza Tanesco wamewaambia tatizo ni nini?
   
 14. MWANAMTAA

  MWANAMTAA Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuwa gamba ni tabu sana bora ukawa mbuzi tu ,,,,,,,,,,,,,,,,
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  gamba utalijua tu, hata iwe usiku wa kiza kinene
   
 16. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ipo siku utampigia simu mbunge akupeleke msalani kwa vile umebanwa, maana ni wajibu wake. Akili yako haina akili shut up!
   
 17. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sirinde yuko busy anamalizia nyumba yake pale tabata na daladala alizonunua pia ziko juu ya mawe so dogo anastress ile mbaya naomba mwacheni apumzike.
   
 18. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 671
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 80
  baeleze baelewe.
  watu wengine wanafiki sana humu jf.
  Angeandikwa mtu wa magamba kwa kosa hata dogo wangemsifu mleta mada. Sasa kaandikwa wa cdm povu linawatoooooka! eti mleta mada anafiri kwa kutumia masaburi.
   
 19. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi huwa'ga' najiuliza sana kama watu humu wanajua kazi za mbunge ni zipi? No wonder rushwa kwenye chaguzi haziishi.
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Mara kumi angempigia simu Mkuu wa Wilaya
   
Loading...