Safari yangu katika jimbo la HAI (Jimbo la Mh Mbowe)

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
baada ya kuwajuza yale yaliyoonekana jimboni karatu ambako nashukuru wengi wenu mlichangia maoni mbalimbali na kwa taharifa nilizopata mbunge wa karatu ameanza kufanyia kazi zile kero zilizoripotiwa,na imenifanya kuona kwamba JF inafikisha ujumbe kwa haraka sana. kutokana na hilo wakati wowote kuanzia sasa nitakwenda jimboni Hai kuona kasi ya maendeleo inayoletwa na mh MBOWE na pia kutathmini FAIDA za maandamo yaliyofanywa na CHADEMA, na ni kwa jinsi gani maandamano ya CDM yamewanufaisha wananchi wa kawaida wa HAI na majimbo jirani! ASANTENI
 
Mh. Jaribu kwenda kwenu pia migomba inazidi kuisha mashambani,gongo,kahawa na rubisi no more!!Lyf gumu kweli kweli
 
baada ya kuwajuza yale yaliyoonekana jimboni karatu ambako nashukuru wengi wenu mlichangia maoni mbalimbali na kwa taharifa nilizopata mbunge wa karatu ameanza kufanyia kazi zile kero zilizoripotiwa,na imenifanya kuona kwamba JF inafikisha ujumbe kwa haraka sana. kutokana na hilo wakati wowote kuanzia sasa nitakwenda jimboni Hai kuona kasi ya maendeleo inayoletwa na mh MBOWE na pia kutathmini FAIDA za maandamo yaliyofanywa na CHADEMA, na ni kwa jinsi gani maandamano ya CDM yamewanufaisha wananchi wa kawaida wa HAI na majimbo jirani! ASANTENI

Hapo sijakuelewa. Wewe ni nani na majukumu hayo ya kazi unayoifanya umepewa na nani?
 
Hata sijakuelewa wewe ni nani na kwanini Karatu na Hai, Juna lako linaashiria wewe ni nshomile, kwanini huendi Misenyi, Bukoba,Muleba ukaona hali Kagera hali ya hayo unayoyasema huko ndio mbaya zaidi ya hai na karatu. Fikiria ziara zako tena
 
Kashaga ninakumbukua kuwa siku moja ulileta mada hapa kuwa hakuna maendeleo yoyote yaliyopatikana Karatu, je unataka kutuambia kuwa sasa yameonekana?
 
Mbowe kaingia sasa ana miezi kama minne hivi na wazazi wako ccm wamekuwa huko miaka karibia hamsini sasa utawezaje kulinganisha miezi na miaka? Vipi kule kwenu ambako mnaabudu ccm mmefikia wapi?
 
Ukimaliza kuyaangalia maandamano na matokeo yake, fuatilia hotuba ya Kikwete ya mwezi februari ilivyopokewa na umma. tena fuatilia maombi ya JK kwa tanesco wapunguze bei ya kuwaunganishia wananchi umeme kwa bei 'nafuu' na kisha tufahamishe mafanikio ya JKM kutemebelea wizara
 
Kashanga ana hoja nzuri sana, tatizo anawakilisha kama vile ni yeye tu anayetembelea sehemu mbalimbali za nchi hii

KUsema ukweli hakuna any changes ya momentum wala strategies kwa maendeleo ya karatu kwani Wibroad Slaa left a sustainable plan nyuma yake. Nakumbuka miaka ya 2004 wakati wambulu wanang'oa mabomba yaliyosimikwa kifisadi ili kudhoofisha upandaji mbegu za ufisadi na pia nampongeza sana Mkwe wangu Patrick Trese kwa kugundua siasa za majitaka za CCM na kubaki where he masters his work

Tukija upande wa HAI, naponegza sana transition ya kazi kutoka kwa MBowe, kwenda kwa Fuya na kurudi kwa mbowe... mipango na maendeleo vinakwenda swAFI SANA

Labda tusubiri kademu ketu ka-shanga kakija na jimbo jingine and this time ningefurahi sana kusikia kama alipita kwa mkullo na kucheki wananchi wake wanavyotekeleza kwa vitendo ile rai yake ya kila mtu kula kwa jasho lake... naskia hadi vitoto vya ten years vinauza ngono!!
 
yaani unapost kututaarifu safari zako! tukishajua unakoenda tufanye nn sasa??... umeweka hapa ili nini kijadiliwe?
 
ukimaliza kuyaangalia maandamano na matokeo yake, fuatilia hotuba ya kikwete ya mwezi februari ilivyopokewa na umma. Tena fuatilia maombi ya jk kwa tanesco wapunguze bei ya kuwaunganishia wananchi umeme kwa bei 'nafuu' na kisha tufahamishe mafanikio ya jkm kutemebelea wizara
usijali kaka,hayo pia nitafanyia kazi na umma wa jf nitaupatia taharifa
 
mh. Jaribu kwenda kwenu pia migomba inazidi kuisha mashambani,gongo,kahawa na rubisi no more!!lyf gumu kweli kweli

umeona eeh? Nitaenda pia kujionea coz huko ndiko maandamano makubwa yalipofanyika so nitakuwa na uwanja mpana kuasses contribution ya maandamano hayo katika kukwamua wananchi kama hao,
 
baada ya kuwajuza yale yaliyoonekana jimboni karatu ambako nashukuru wengi wenu mlichangia maoni mbalimbali na kwa taharifa nilizopata mbunge wa karatu ameanza kufanyia kazi zile kero zilizoripotiwa,na imenifanya kuona kwamba JF inafikisha ujumbe kwa haraka sana. kutokana na hilo wakati wowote kuanzia sasa nitakwenda jimboni Hai kuona kasi ya maendeleo inayoletwa na mh MBOWE na pia kutathmini FAIDA za maandamo yaliyofanywa na CHADEMA, na ni kwa jinsi gani maandamano ya CDM yamewanufaisha wananchi wa kawaida wa HAI na majimbo jirani! ASANTENI

katembelee kwanza chalinze, miaka 10 ya ****** kuwa rais bado kumejaa vibanda na vyoo vya paspoti.
 
Una mawazo mazuri,lakini una mzaha kwenye mambo ya msingi.....Nenda na majimbo ya hao wezi CCM
 
Kashaga aliambiwa na dereva wa kampuni ya utalii hajawahi na hakuwahi kwenda Karatu! Nilimuuliza atueleze uelekeo kuwa alikuwa anaelekea kwa babu toka karatu! Soma hapa https://www.jamiiforums.com/habari-...niliyoyaona-jimboni-karatu-8.html#post1758836 hakuweza kutuambia.
Sasa naona kaja na Hai. Safarini kwenda Rombo kupata kikombe. Nakushauri upitie pale Tabora kwa Dada (kama sio bibi) Upate kikombe then ukija Rombo utakamilisha TIBA YA MARADHI YAKO SUGU. Ukija usione haya nitakupa usafiri bure kwenda Rombo!
 
baada ya kuwajuza yale yaliyoonekana jimboni karatu ambako nashukuru wengi wenu mlichangia maoni mbalimbali na kwa taharifa nilizopata mbunge wa karatu ameanza kufanyia kazi zile kero zilizoripotiwa,na imenifanya kuona kwamba JF inafikisha ujumbe kwa haraka sana. kutokana na hilo wakati wowote kuanzia sasa nitakwenda jimboni Hai kuona kasi ya maendeleo inayoletwa na mh MBOWE na pia kutathmini FAIDA za maandamo yaliyofanywa na CHADEMA, na ni kwa jinsi gani maandamano ya CDM yamewanufaisha wananchi wa kawaida wa HAI na majimbo jirani! ASANTENI

Una matatizo unatembelea majimbo ya Cdm kama nani? Katembelee Bumburi na majimbo ya pemba! Ila ndo sera ya wanaume suruali kwani wako kiumbea ka mama wa kiswahili.
 
Kashaga aliambiwa na dereva wa kampuni ya utalii hajawahi na hakuwahi kwenda Karatu! Nilimuuliza atueleze uelekeo kuwa alikuwa anaelekea kwa babu toka karatu! Soma hapa https://www.jamiiforums.com/habari-...niliyoyaona-jimboni-karatu-8.html#post1758836 hakuweza kutuambia.
Sasa naona kaja na Hai. Safarini kwenda Rombo kupata kikombe. Nakushauri upitie pale Tabora kwa Dada (kama sio bibi) Upate kikombe then ukija Rombo utakamilisha TIBA YA MARADHI YAKO SUGU. Ukija usione haya nitakupa usafiri bure kwenda Rombo!
hapana nitapita changaby,magereza,moshi technical,kibosho road,maili sita,mnadani,mashine tools hapo nitakunja hapo mkono wa kulia kuelekea machame,nitastop pale PROTEA HOTEL(hotel ya bwana Mbowe inavyosemekana) then nitaendelea na ziara yangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom