Yusuf Makamba: CCM imesajili kikosi supa ligi ya mwaka 2015

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luteni Yusufu Makamba, amesema Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) imefanya kazi nzuri kwa kuwa imesajiri supa timu ya kucheza ligi ya mwaka 2015.Makamba ametabiri kuwa kazi nzuri iliyofanywa na NEC mjini Dodoma wiki iliyopita itakiwezesha chama hicho kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa rais na wabunge mwaka 2015.
View attachment 66750

"Nasema kama mwanachama wa CCM, lakini pia kama Katibu Mkuu Mstaafu wa chama, tumesajiri wachezaji wa super ligi ya mwaka 2015 wanaosemaCCM itakufa watakufa wao,"alitamba Makamba.

Aliongeza"Naamnini kuwa sisi tumesajiri vizuri,maana usajili ni mzuri, kila aliyesajiliwa akipata nafasi ya kushinda afanye yale yanayotakiwa".Alisema katika uchaguzi huo wao walizingatia zaidi kuunda timu itayochochea ushindi mwaka 2015 na si vinginevyo.

Source: Haki Ngowi!

Mytake:Baba Januari Bwana kashaanza kupiga ramli.....Makamba siasa ya wamachinga na kelele zilishapitwa na wakati sasa ni sayansi zaidi siyo Ramli.
 
Mvinyo mpya, ndani ya kiriba cha zamani, tena kichafu! Utachacha sasa hivi. Lowassa, chenge......!
 
Babu kasema ukweli, Ngoja tusubiri tusikie, Africa Lion, JKT oljoro, Toto Africa na nyingine kama hizo zitakavyojitapa baada ya hii kauli ya gwiji la Ubingwa. Lakini mwisho wao ni kichapo tu. Hongera babu, umewashtua sana.
 
Je hii ni timu mpya???? na je ni ya ushindi??

Nagu-alikuwepo toka miaka 10 ya mkapa hadi leo anajipya gani kuchochea ushindi?
Komba-alikuwepo nae toka kadre iliyopita na CCM imechechemea akiwepo lipi jipya ataleta kuvutia ushindi?
Nchimbi-alikuwepo toka 2005 ameshaharibu sn hana mvuto swala la mwangosa ni mfano 1 atashawishi vp
ushindi?
Masha-alikuwepo roaka 2005 na wananchi wa mwanza walimkataa kuwaongoza je ataletaje ushindi?

Hao ni wachahce tuu sinamuda wa kuandika na wengine wanakuja chaguzi si zinaendeleae mtaona kama kuna wapya zaidi ya wale wale walioharibu na kupoteza mvuto
 
CCM ni sikio la kufa. Halisikii dawa
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luteni Yusufu Makamba, amesema Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) imefanya kazi nzuri kwa kuwa imesajiri supa timu ya kucheza ligi ya mwaka 2015.Makamba ametabiri kuwa kazi nzuri iliyofanywa na NEC mjini Dodoma wiki iliyopita itakiwezesha chama hicho kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa rais na wabunge mwaka 2015.
View attachment 66750

"Nasema kama mwanachama wa CCM, lakini pia kama Katibu Mkuu Mstaafu wa chama, tumesajiri wachezaji wa super ligi ya mwaka 2015 wanaosemaCCM itakufa watakufa wao,"alitamba Makamba.

Aliongeza"Naamnini kuwa sisi tumesajiri vizuri,maana usajili ni mzuri, kila aliyesajiliwa akipata nafasi ya kushinda afanye yale yanayotakiwa".Alisema katika uchaguzi huo wao walizingatia zaidi kuunda timu itayochochea ushindi mwaka 2015 na si vinginevyo.

Source: Haki Ngowi!

Mytake:Baba Januari Bwana kashaanza kupiga ramli.....Makamba siasa ya wamachinga na kelele zilishapitwa na wakati sasa ni sayansi zaidi siyo Ramli.
 
hiyo nundu usoni akate kwanza ndio aje tena hana mpya ndio wazee waliokosa busara ndani ya taifa letu
 
Back
Top Bottom