Shitambala Kiibaraka wa CCM aliyekuwa CDM ashinda Mbeya Mjini, Mwakalebela Ashinda Iringa Mjini

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
TAARifa kutoka wa kalulunga.blogspot.com zimesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Mbeya Sambwee Shitambala ameshinda nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ya CCM wilaya ya Mbeya Mjini.
Na taarifa zisizorasmi zilizotufikia kutoka wilayani Rungwe zimesema kuwa Prof. Mark Mwandosya naye amepata kura za ndiyo na kushinda wilayani humo.

akipewa kura za ndiyo katika uchaguzi uliofanyika leo katika uwanja wa Sokoine Mbeya, pia Mwandishi wa habari wa Gazeti la Majira mkani Mbeya Charles Mwakipesile ameshinda na kuchaguliwa katika nafasi ya Mkutano mkuu wa Taifa.



MWENYEKITI CCM WILAYA IRINGA MJINI Kura zilizopigwa 586 zilizoharibika 2 kura halali 584 Omary Iddy Mchomba 62 Eliudi Mvela 224 Abeid kiponza 298 MJUMBE NEC Idadi ya kura 538 kura zililozoharibika 14 kura halali 524 Enock Ugulumu 62 Michael Mlowe 86 Vitus Mushi 243 Mahmudu Madenge 281 Zainabu kufakunoka Chiku masanja Nafasi ya wazazi halmashauri kuu nafasi mbili Donald 21 Chande salum mbega 47 Aloyce kibiki 141 All mbata 269 Bernad mbigili 244 Shedraki Tito mkusa 334 UWT nafasi nne Donisia Daudi 128 Christina Mgongolwa 150 Hellen Machibya 162 Sarida ally 167 Midaw William 204 Halima hsaasn 266 Ashura jongo 291 Nikolina Lulandala 325 Fatuma daudi 338 UWT Vijana nafsi 4 Barton Sanga 83 Asaki oketo 152 Pendo ojwano 188 Nuru mwinuka 198 Adam Ramadhan 235 Ester Mobo 243 Ally Simba 250 Salum kaita 264 Mwaija mwinyikayoka 270 Clara Shirima 299 MKUTANO MKUU WA TAIFA wajumbe watano Said Rubea 73 George Mwaitege 74 Mfamlopela luvambe 74 Lukasi Mgongolwa 75 Michael Mlowe 108 Gidion Kikumbwe 83 Emanueli Magoda 120 Jurio Mgonja 127 Bernad Mbigiri 132 Fatuma Ngole 199 Agusta Mtemi 192 Abeid kiponza 235 Amani Mwamwindi 311 Fredriki Mwakalebela 321 Salim Asas 346


KAMANDA MSIGWA HILI LA MWAKALEBELA LINAKUHUSU UMEJIPANGAJE KWA UJIO HUU.
 
ndio malipo yake kwa kuisaliti chadema. Msaliti mkubwa huyu ndugu.
 
CCM na watu wa Mbeya ni Urafiki wa Mashaka sana.

Mtu amtonye huyu Shitambala kuhusu yaliyompata Japhet Mwakasumi pale Kyela....
Japhet alifanyiwa usanii pale akaiacha TLP, muda mfupi baadaye akapachikwa cheo cha Uwenyekiti katika CCM.
Leo Japhet kaoza katika kaburi pale Kyela.

CCM haina urafiki na watu wa Mbeya nakwambia. Labda?! sijui....
Tusubiri kama huyu Shitambala hajapeperushwa.... Huu ni urafiki wa mashaka sana!



ndio malipo yake kwa kuisaliti chadema. Msaliti mkubwa huyu ndugu.
 
even if huyo shitambala amepata ujumbe wa nec mbeya, afute ndoto za kupata ubunge mbeya mjini maana kama mbeya vijijini alishindwa mbeya mjini atapaweza?
 
haitakaa iwezekane ccm kushonda mbeya'wana mbeya wana hasira kubwa na ccm'halafu kwa bahati mbeya uwezo wao wa kuelewa upo juu
 
Katika wabunge wa chadema ambao na hakika 2015 hawatarudi ni wa iringa mjini Mchungaji wetu huyu alipita kwa sababu mwakalebela walimfanyia mizengwe watu wakahamishia hasira kumpigia huyu mchungaji
 
Kwani Japhet Mwakasumi alifariki?

CCM na watu wa Mbeya ni Urafiki wa Mashaka sana.

Mtu amtonye huyu Shitambala kuhusu yaliyompata Japhet Mwakasumi pale Kyela....
Japhet alifanyiwa usanii pale akaiacha TLP, muda mfupi baadaye akapachikwa cheo cha Uwenyekiti katika CCM.
Leo Japhet kaoza katika kaburi pale Kyela.

CCM haina urafiki na watu wa Mbeya nakwambia. Labda?! sijui....
Tusubiri kama huyu Shitambala hajapeperushwa.... Huu ni urafiki wa mashaka sana!
 
Kwa kweli watu wengine hawajui kujitathimini wala kutizama alama za nyakati. Huyu Mwakalebela anatamani jimbo la Iringa mjini, hata hivyo wakati wa yeye kushinda jimbo hilo haupo na nyakati kamwe hazito mruhusu. Vuguvugu la mabadiliko litamzoa na kumzamisha kabisa miaka mitatu ijayo. Namshauri ajikite kwenye kazi yake pale National Museum.
 
Hebu jaribu kumpigia simu kwenye namba zake za simu pale katika chuo chake cha biashara uone kama yupo...mi binadamu tu bwana. isije kuwa nilikuwa mis-informed. Nilipewa namba hii kuwa ndiyo namba yake 0784 460164. call him!


Kwani Japhet Mwakasumi alifariki?
 
Back
Top Bottom