Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sala ya kuaga inaanza baada mwili kuwasili toka Lugalo Mwili wa marehemu umewasili Familia na ndugu wa marehemu... NB: Picha na maelezo zaidi vinakuja
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wengine tupo mbali na arusha jamani,tupeni ripoti nikweli kua bayo kahamia cuf?? Nasikia na yule mama ambae mwanae aliuawa na polisi pale nmc nae kachukua kadi,vipi hizi habari nizakweli tunaomba...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
CCM wameshindishwa na mbinu za kisiasa amabzo uhalali wake kisheria linabaki kuwa suala la wanasheria wanaojua taratiu zikoje. Baada ya mgawanyo wa h/shauri ya jiji na kuwa na h/shauri ya jiji...
14 Reactions
130 Replies
13K Views
Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali maombi ya aliyekuwa mgombea wa Ubunge jimbo la BABATI VIJIJINI kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI Bwana TARA na kuthibitisha ushindi wa mhe. JITU SONI aliyeshinda kiti...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu Kile kinachoonekana kuwa ni mkakati maalum uliopangwa kati ya CCM, CUF na baadhi ya viongozi wa serikali katika baadhi ya mamlaka/ vyombo vya serikali dhidi ya CHADEMA, unaweza kukiona...
11 Reactions
33 Replies
5K Views
Rais wa Tanzania dr. Jakaya Kikwete amemuapisha ruteni generali Samwel Albert Ndomba kuchukua nafasi ya aliyekuwa mnadhimu mkuu wa jeshi A.A.Shimbo aliye fikisha umri wa kusitafu wa miaka 60...
2 Reactions
44 Replies
16K Views
Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa yale ambayo yamekuwa yakifanywa na chama tawala kutumia rasilimali ya nchi kwenye shughuli za chama mapacha wao CUF nao wameingia kwenye huo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndiyo wakuu! Nitaanza na nukuu zifuatazo :- 1. Mwl Nyerere ktk kitabu chake cha Binadamu na Maendeleo alipata kusema "TANZANIA NI YA WATANZANIA WOTE, HAKUNA MTU MWENYE HAKI YA KUSEMA MIMI NDIYE...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi Zanzibar, kimesema ikiwa itatokea kuvunjika kwa Muungano wa Serikali mbili kutokana na shinikizo la baadhi ya wanasiasa ‘mapepe’ kutaibuka vuguvugu la kujitenga kwa visiwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukistaajabu ya CCM utaona ya CUF. mwaka 2015 kuwa wa kihistoria jimbo la iramba mashariki laweza kufikisha zaidi ya wagombea 100 watakao omba ridhaa katika vyama mbalimbali imebainika. Wakuu wa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Uchaguzi wa CCM Zanzibar ilifanyika jana huku ukiacha majonzi kwa wanasiasa maarufu, akiwemo Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Khamis Suleiman Dadi, wakianguka. Mwanasiasa huyo maarufu katika...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wanabodi katika kuperuzi nimekutana na ili Tangazo kutoka Tanesco Wanataka maoni ya wadau kuhusu tanesco tunayoitaka: Kabla sijatoa Maoni yangu: Hivi waliotoa hili tangazo hawajui Tanesco watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kada mmoja wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekufa papo hapo na wengine zaidi ya 85 wamejeruhiwa vibaya baada ya lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T420 APM walilokuwa wakisafiria kwenda...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
UNDUGU NDANI YA SERIKALI Wananchi wengi wamekuwa wakilalamikia utawala mbovu ndani ya CCM na serikali yake. IGP Mwema alipewa u IGP kwa sababu ya uhusiano wake na Rais ameridhika, hana wasiwasi...
18 Reactions
131 Replies
13K Views
Wakuu tunakumbuka kwamba mirungi (miraa) ilipigwa marufuku hapa nchini kwa kuwa ni madawa ya kulevya. Mirungi hulimwa sana nchini Kenya na huwa inauzwa Somalia na Kenya kwenyewe na pia huwa...
1 Reactions
55 Replies
8K Views
Friday, September 28, 2012 *Asema Dk. Slaa ameikimbia Mwanza mapema baada ya kunusa Chadema kugaragazwa *Awapongeza madiwani wa CCM wa Nyamagana kwa kuwezesha ushindi wa Menya na Naibu Meya...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Ndiyo wakuu! Leo hii mji wa geita na viunga vyake umezizima kwa mkutano mkubwa ulio ongozwa na Mb Wenje wa jimbo la Nyamagana, kamanda Mawazo,diwani wa zamani wa kata ya Sombetini-Arusha alie...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapambanaji wa Ukweli Chama cha wananchi CUF kwa wiki kadhaa kimekuwepo Mkoani Arusha ktk operesheni maalum ya kuzindua Matawi na kupokea wanachama wapya ktk Mkoa huo maarufu kwa watalii...
0 Reactions
168 Replies
14K Views
Wana Jamvi Salaamuni kwa mpigo. Siku nyingi hatujajuliana hali. Katika mengi yaliyomwagwa kwenye dish langu mpaka napata shida kukaa nayo, ni hili na Mheshimiwa Nape Nnauye kupatana na Mheshimiwa...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
MIMI PAUL MAKONDA napenda kuwashukuru kwa dhati viongozi wote wa Vyuo Vikuu/Taasisi za elimu ya juu nchini kwa kuniamini na kunichagua kuwa Mwenyekiti wa “TAHLISO” mnamo 27 Septemba, 2011 mpaka...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Back
Top Bottom