Tumechoshwa na CCM jimbo letu la Monduli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumechoshwa na CCM jimbo letu la Monduli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Emashilla, Sep 30, 2012.

 1. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  “Mh. Shikamoo!
  Tumechoshwa na mambo ya CCM chini ya uongozi wa Dr. Jakaya Kikwete. Tunakuja kuwasha moto wa M4C mwezi wa November 2012 ktk jimbo letu la Monduli . Amini usiamini tuko imara ile mbaya.”


  Source: Narika


   
 2. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani hiyo Tetesi, twendeni tukajenge nchi huyu kapinda.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mbona Lowassa ni mchapa kazi na ameifanyia mengi mazuri Monduli??? Ama kweli utaijua thamani ya ulichonacho baada ya kukipoteza!
   
 4. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,636
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Msisahau kukodi fuso na chopa manake bila hivyo mtajibeba.
   
 5. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kamanda tuweni na subira mpaka 2015 naamini mungu atakuwa nasi na kisha lowasa aingie ikulu,poleni kwa kuchoka na hata sisi watu wa mara tumechoshwa na uongozi wa huyu ******,naomben tuwe na subira kdg,mara tushatoa msimamo kuwa lowasa for 2015,wakimzingua ni dokta mwenyewe wa ukweli dr.wilbrod.
   
 6. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huenda kafanya mengi kwa mtazamo wako! Lakini kwa wapenda mabadiliko ya kweli hatushawishiki na hofu yako, kwa maana yawezekana unafaidi sana kipindi cha uchaguzi.Andika hapa mambo kumi aliyoyafanya Mh.ya kunifanya niwashauri M4C wasije huko Monduli. Usiogope Mageuzi!
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mpungati, usemayo ni kweli!, hata wa Misri wanajuta!. Wairaq nao ni majuto, Libya Mmarekani amelipa kwa damu ya balozi wake!. Mungu bariki kwa Monduli, jamaa anajifurahisha!. Kile ni kisiki cha mpingo, kamwe hakingoleki bila kukatwa katwa kwanza!. Ili Chadema kuishika Monduli, kwanza ama wamshike mwenye Monduli yake, au wamsubiri CCM imkatekate na kummaliza ndipo waje kujiokotea jimbo!.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Mkuu Omolo Tonga, haya ndio maneno!. 2015 ni zamu ya Kaskazini na kama sio Kaskazini moja, then Kaskazini nyingine ili mradi ni Kaskazini.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mageuzi bila fikra sahihi ni uchwara.
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Kumbe Mkuu wewe ndio mshauri wa M4C Waende wapi?. Then nakuhakikishia EL did nothing for Monduli hivyo hilo jimbo lina hang hang hivyo M4C wakajiokotee tuu hilo jimbo yaani kazi ya M4C hapo Monduli ni simpo sana kama kumsukuma mlevi!.
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  M4c haitawaponyesha mafisadi kamwe!
   
 12. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Komaeni kitaeleweka, umemwamkia nani hiyo shikamoo, huku sio michuzi ili post yako itoke lazima aisome ndio aiweke mezani, huku unaweka kitu moja kwa moja hivyo huna sababu ya kutoa TAKRIMA ya shikamoo
   
 13. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Tatizo kafisadi rasilimali za nchi halafu akajifanya kwenda kuwadanganya wamasai kule Monduli.
   
 14. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe si msemaji wa wana monduli....waliopatia mbunge wa ccm asilimia tisini
   
 15. k

  kwitega Senior Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni watu wenye vichwa vya panzi ndio wanaweza kutaka rais atoke upande huu au ule wa nchi. Ikifika wakati kila ukanda wa nchi hii ukataka rais atoke kwenye ukanda huo nini kitatokea? Kwa kuendekeza ujinga huu haitafika wakati watu watasema rais lazima atoke kabila fulani? Ujinga mtupu huu mnauleta humu. Haitafika wakati watu watasema rais lazima awe wa dini fulani. mnaoendekeza siasa uchwara za ukanda mnafikiri kwa kutumia makalio.
   
 16. M

  Mwanandani Senior Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acheni kutuposha,nimezaliwa Monduli,nimesoma Monduli na nina ifahamu Monduli kila kijiji cha Monduli.ukweli nikwamba wananchi wa Monduli wana hali ngumu,wengi wao hua wana danganywa na lami ilipo Monduli mjini sababu hawajawai pita vijijini,vijijini barabara nibaya sana akitokea mgonjwa mahututi vijijini huwezi kumfikisha kwenye hocpitali ya Wiliya hajafa,ilo moja pili'pamoja na Monduli kua na mradi wa maji wa shilingi bilioni 45 miaka minne iliyo pita mpaka sasa Monduli hakuna maji,ikumbukwe izo pesa niza wavuja jasho wote wa tanzania nzima.tukijaribu kuya angalia maendeleo ya Monduli na muda wa ubunge wa Lowasa nisawa na ajafanya kitu na hiyo nisababu kua hakuna kiongozi wa chama au wa serekali ana mpinga Lowasa kwa analo sema,kwa luga nyepesi Lowasa amejimilikisha Monduli yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho na huwezi mshauri lelote.4c wajetu kutukomboa.
   
 17. M

  Mwanandani Senior Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lowasa mara nyingi ana upotosha ulemwongu kwaku zungumza swala ajira kua nibomu linalo ngoja kulipuka!huwa nawashangaa waandishi wa habari kwanini hua hawa muulizi ame watengenezea ajira kiasi gani vijana Monduli,hua ana fanya mambo yakiini macho!vijana Monduli wamechoka hawana nyuma wala mbele.kwasasa kuna arakati za uchaguzi wa Ccm Monduli,vijana wa Monduli wakimwona Mtoto wa Lowasa(Fredi)utazani wame mwona Mungu wao kwakujua watapata chechote chakupeleka kinywani,kinacho nisikitisha zaidi mpaka wana fikia kupigana.lowasa na Ccm nijanga lataifa.
   
 18. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waliingia kwa mbinu watatoka kwa mbinu!

  Inzi na Nyuki hufa kwa kulazimisha kupenya kwenye kioo angavu. Ndivyo watakavyoangamia wasomi, wafanyakazi na wakulima wanaolazimisha kutimiza ndoto zao kupitia CCM! Sasa tuko kwenye kampeni maalum dhidi ya "Mafisadi" 2015. Waliingia kwa mbinu watatoka kwa mbinu!Tui-support CHADEMA. Tanzania bila CCM inawezekana! Ujumbe huu uwafikie waliochoshwa na CCM, hasa wakulima, walimu, TRL, Wazee wa EAC na wanafunzi Vyuoni.

  MUNGU ibariki CHADEMA
   
 19. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Enyi CCM mmezaliwa na matusi vinywani mwenu? Nataka ueleze fikra zako kwa mema ya huyu baba yako mkubwa lakini unasema "Mageuzi bila fikra sahihi ni uchwara" Hata hivyo hujui lolote na fikra zako zimetiwa ganzi wala hujui kuwa hujui kwamba Monduli sio huyu baba yako bali ni wananchi walioko mijini na vijijini. Post mema aliyowafanyia wana Monduli kwa miaka yake yote ya Uongozi au kaleta mvua wakati wa kiangazi huko Monduli?
   
 20. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Achana na personal attacks please. Je Lowassa ni mbaya kwa kufanya comparison na nani?
   
Loading...