CCM MPANDA WAPATA VIONGOZI WAPYA kwenda CCM-NEC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM MPANDA WAPATA VIONGOZI WAPYA kwenda CCM-NEC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Oct 1, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Na Walter Mguluchuma

  Mpanda

  Chama cha Mpanduzi (CCM) wilaya yam panda mkoa wa Katvi kimepata viongozi wapya watakao kiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano

  viongozi hao walipatikana hapo juzi kwenye uchaguzi uliofanyika katika shule ya sekondari ya milala

  katika uchaguzi huo nafasi ya

  Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mpanda BEDA KATANI aliyechaguliwa kuwa mwenyekiti baada ya kupata kura 477 dhidi ya kura 208 alizopata mpinzani wake FORGENSIA KAPAMA


  Nafasi ya Katibu mwenezi alichaguliwa JOSEPH LWAMBA aliyewashinda wapinzani wake wawili kwa kupata kura 59 nafasi ya pili alikuwa ni ELIAS MWANISAWA aliyepta kura 27 na watatu ni GENOVEVA MBAMBA aliyepata kura 18

  kwa upane wa mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa alichaguliwa Moshi Selemani Kakoso aliyepata kura 352 PIUS BUZUMALLE alishika nafasi ya pili baada ya kupata kura 235 na nafasi ya tatu ni GABRIE MNYERE aliyepata kura 85

  mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya mpanda pia umemchagua ALKADO KALIFUMU kuwa Katibu wa uchumi wa chama hicho wilaya yam panda.

  mara baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo majira ya saa 8 usiku wagombe wote waliochaguliwa na ambao hawakuchaguliwa walipewa nafasi ya kutoa maoni yao kwa wajumbe wa mkutano huo mkuu.

  Wagombe hao kila mmoja alielezea kuridhishwa na matokeo hayo kwa kile walicho kieleza kuwa uchaguzi ulikuwa ni wa haki.

  baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wameilalamikia kamati iliyokuwa inasimamia chakula kwa kile walichodai kushindishwa na njaa kutwa nzima kwani chakula kwa wajumbe kilitolewa majira ya saa 4:00 usiku   
 2. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa mkuu.
   
Loading...