Je kulikuwa na sababu chadema kushirikiana na cuf kwenye uchaguzi wa meya mwanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kulikuwa na sababu chadema kushirikiana na cuf kwenye uchaguzi wa meya mwanza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gagonza, Oct 1, 2012.

 1. g

  gagonza JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 309
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  kwa taharifa zilizopo cuf waliwageuka chadema kwenye makubaliano ya uchaguzi,ilikuwa cuf waisapoti chadema kwenye umeya,na chadema waisapoti cuf kwenye unaibu meya,kilchotokea kwenye upigaji kura za umeya cuf ikawapa kura ccm,kwenye uchaguzi naibu meya chadema ili wapa cuf kura ndiyo maana walipata kura 8,kwanini viongozi wameshirikiana na cuf ili hali cuf noi ccm b?
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  walio wengi hatupendi kujadili hili swala,ila kifupi chadema walijichanganya na tena bora walishindwa maana ingewawia vigumu kuendesha propaganda dhidi ya cuf na ccm.!
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo CUF hawakujipigia kura za naibu meya? Kura si zingekuwa 11?
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu samahani lakini, matumizi ya herufi kubwa na ndogo ni muhimu.
   
Loading...