kiongozi ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kiongozi ni nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RIVI SHIRIMA, Oct 7, 2012.

 1. R

  RIVI SHIRIMA Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fikra ndio uongozi,kiongozi yapaswa aione kesho nakesho kutwa mpka mtondo go!
  Kiongozi man yake ni kuwafanya wa2 wakubali ambacho hawakitaki,na kuanza kuiona kesho yao japo hawaijui,
  Mashaka yananiji pale kiongozi anapo peleka taarifa za kazi kwa muke au mume na watoto hapo hakuna fikra bali ni ubomoaji wa uongozi nakuwa km kio-ngozi ila hay ani mawazo yangu ntaendele badaee na apa pa magamba***
   
Loading...