Uchaguzi: CCM watwangana makofi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi: CCM watwangana makofi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIGENE, Oct 7, 2012.

 1. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Vurugu kubwa zimeibuka katika uchaguzi wa kuwania nafasi ya Baraza Kuu na Mkutano Mkuu Taifa uliofanyika jana katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam baada ya wapambe wa wagombea wawili kuchapana makonde hadharani.
  Uchaguzi huo uliokuwa ukitafuta wawakilishi wa nafasi mbalimbali za Umoja wa Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam na kusimamiwa na Mbunge wa Ilala, Musa Zungu, ulilazimika kurudiwa baada ya wagombea wawili kupata alama sawa.
  Kabla ya kurudi katika ukumbi wa uchaguzi majira ya saa 9:10, vurugu zilianza kujitokeza ambapo wapambe wa mgombea Salim Salim ‘Chicago’ walikuwa wakihaha kuhakikisha anaibuka kidedea.
  Hata hivyo mpambe wa mgombea mwingine, Nicolaus Msemo, alikuwa makini na kumfuata mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Idd Toatoa na kuanza kupigana naye kabla ya kuamuliwa na wanachama waliokuwa karibu yao.
  Nafasi ya uwakilishi wa Baraza Kuu mkutano mkuu Taifa kupitia Jumuiya ya Wazazi mkoa huo ilikuwa ikiwaniwa na wagombea wanne ambao ni Salim Chicago, Msemo, Mohmed Honelo na Tambwe Hizza.
  Honelo na Tambwe walienguliwa mapema kutokana na kura zao kuwa chache huku wagombea hao wawili wakirudi katika uchaguzi.
  Aidha, nafasi ya uenyekiti Umoja wa Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam ikichukuliwa na Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kiziga aliyeibuka kidedea kwa kura 170.
  Source: Tanzania Daima
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Acha watwangane, yetu macho kwao
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Daaaaaah kweli pesa za kifisadi ni Tamu!
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tendwa hatatolea kauli yoyote mapigaano haya wala kutishia kuifuta CCM.
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huo ndiyo ukomavu wa CCM siyo? Kwa vile ni CCM hata wangetoana ngeu hiyo ingeitwa amani na mshikamano chamani! Huu ni ushahidi kuwa CCM imeishiwa na kuisha vibaya. Hivyo ni jukumu la watanzania kuipumzisha hata kuizika so to speak.
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  CCm chama cha hovyo na cha kipuuzi hakichoki waambisha wanaokilinda.Kila siku wanawadhililisha waalindao sana, Wizi takukuru ni aibu, silaha na wizi wa kura,kuua polisi na tume ya uchaguzi ni aibu, hizi vurugu za kisiasa, matusi, kutotumia raia msalijili kimywa.kesi za kubambikiza amahkama ni aibu, ..kila mahali hawa jamaa ni shida. CHAMA CHA HOVYO SANA.
   
 7. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tabwe hizza a.k.a tabwe giza, rudi ccm b, kapige magoti kama ilivyo kawaida yako kujivua nguo ili utunishe tumbo lako. Ni kwa njia hii labda utarudi kwenye chati. Lakini kwa sasa ushapotea. Huna dira wa dili tena. Chezea gamba wewe, umetumiwa kama condom. Polee
   
 8. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  waache waonyeshane ubabe maana ndio jadi yao
   
 9. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa jiwejeusi jamaa wamemtumia kama condom tena wakafanyia mapenzi na dada yake maana jinsi alivyowasaliti CCMB ni sawa na kulala na dada zake...Alafu aliwahi kusema "nikirudi Ccm labda nimlale mama yangu"Nafkiri atakuwa alifanikiwa kupiga mechi na mzazi wake..Laaana kubwa sana
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  una point mkuu ila rudi ufanye kurekebisha kidogo post yako.pamoja
   
 11. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  swafi sanaaaa waendelee hivo hivo
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tambwe Hiza hoi?
   
 13. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Kwa kazi yote aliyofanya kuua upinzani bado anaunga foleni ya kuomba nafasi ndani ya CCM na kukosa?Tulitegemea angekuwa na special entry.Sasa si bora nagejiunga kama wengine tuu.Bado wengine walio busy kutafuta namna ya kuia CDM,wao hawatoikuta CCM kabisa.Tambwe ilianza na makamba sr. aliposem akuwepo kwake machoni pa raia ni chukizo hivyo asitumike katik kampeni za ccm.
   
 14. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Halafu yule Dr Manyaunyau wa UD (Bunsen Burner) anadai hiki chama kina uhai!
   
 15. P

  Penguine JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Ooh, my poor Tambwe Hizza!
   
 16. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndo maana tunasema maslahi ya nchi kwanza, thenn ya uongozi badaye, wengine hawatuelewi wanafanya maslahi ya uongozi kwanza then ya nchi badaye. ndo maana hatufiki popote
   
 17. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wanajifanya wana amani kumbe wanamachungu moyoni subiri muda ukifika ndio tutona mengi zaidi ya kushikiani bastola.
  tabwe alikuwa anabebwa na makamba mzee nape kijana hamtambui
   
 18. we gule

  we gule Senior Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh mimi naona haka ka chama kanazidi kukomaa ki-demokrasia
   
 19. m

  matawi JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Naomba msitufuate fuate kupigana ni njia bora ya kuimarisha chama
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Safiiiiiiiiiiii!!!!


  Sanaaaaaaaaaa!!!!
   
Loading...