Siasa ni mchezo mzuri lkn wagombea urais hawa waangalie sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa ni mchezo mzuri lkn wagombea urais hawa waangalie sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JF-MBUNGE, Oct 7, 2012.

 1. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuanza kwa chaguzi hizi za CCM naona kunamwelekeo wa kuibuka ugomvi mkubwa kati vigogo wawili wakubwa wote wakiwa wamekwisha ukwa u PM nchini kwetu. Vyombo vya habari viliandika zikazaniwa lbd ni tafsiri tu, mmoja wao leo amedhirihisha kuwa kuna kitu kama hicho nyuma ya pazia.

  For most observer watakubaliana nami kuwa hapa kuna mambo makubwa mawili.,
  1-Pengine kweli hawa vigogo wanagombana kisiasa lengo ni kutaka kuwania kiti cha urais 2015
  2-Pili pengine wametumiwa kwa kushawishiwa kuwa waanzishe ugomvi huo ili kubadili hoja za kisiasa
  zinazoendelea nchini mwetu na hivyo wajiwekee wenyewe na CCM kwa ujumla ktk publicity ya ku-hodhi Unext P

  Kwa mazingira haya wahusika wanatakiwa waangalie sn kama kweli wanautaka huo urais..maana itakuwa wanajitengenezea au wanatengenezewa mazingira ili waukose. Nasema hivyo maana wataishia kupigwa vijembe muda ukifika kuwa kwanini wanagombania ikulu hvyo?????kisha hapo nukuu ya baba wa taifa itakuwa ikitolewa. Na mwisho watakuwa wameirahishia kazi NEC-CCM kuwamwaga kwa kigezo kuwa wanagombana na kukichafua chama...hivyo kuwatosa ni kukisafisha chama husika. Eg. BASHE na KINGWA......

  Ni mtazamo tu
   
Loading...