Miaka 50 ya chama tawala madarakani & miaka kumi ya chama kilichokuwa cha upinzani nchini kenya.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
1.Tension Over Kenya's New Mega Port at Lamu

The construction of Lamu Port in Kenya has been officially launched by Kenya's President Mwai Kibaki, South Sudan's President Salva Kiir and Ethiopia's Prime Minister Meles Zenawi.
The port is expected to act as the main gateway to Africa's Great Lakes region that includes the Horn of Africa, eastern Africa and central Africa.
But there have been mixed reactions to the project, with some saying the effects on fishing and the environment, and compensation for those who will be displaced were not taken into account.

DMXziIiy38yZGNqqS4wp7sp6kaAgA7


HUU NI UJENZI WA BANDARI MPYA AMBAPO UJENZI WAKE UNATARAJIWA KUANZA HIVI KARIBUNI HUKO LAMU.

KUNA TAARIFA KUWA BANDARI HII ILIKUWA IJENGWE HAPA KWETU TANZANIA LAKINI WAKENYA WAKATUZIDI KETE BAADA YA KUENDEKEZA 10%.

2Q==



Z


HILI NDILO ENEO BANDARI HIYO ITAJENGWA.


2.HUU NI UWANJA MPYA WA JOMO KENYATA AMBAPO UJENZI WAKE UMESHAANZA.

HUU NI UWANJA TOFAUTI NA ULE UTAKAO JENGWA HAPO RONGAI MPAKANI MWA KENWA NA TANZANIA.
9k=


2Q==
2Q==


HUO NDIO MWONEKANO WAKE UTAKAPO MALIZIKA KUJENWA

3.BARABARA.
ASILIMIA KUBWA YA UJENZI WA HIZA BARABARA UMEKAMILIA NA NYINGINE ZINATUMIKA KWA SASA.

VIPI KUHUSU MIAKA HAMSINI YA CHAMA CHA MAPINDUZI MADARAKAMI KWA KISINGIZIO CHA AMANI ITATOWEKA?.

JE NI BORA KUFA UKIJARIBU AU NI BORA KUISHI KWA MATUMAINI NA KUSUBIRI KISICHO SUBIRIKA?.

 
Back
Top Bottom