Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Parata, Jun 30, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  source press tv
  serikali ya iran imejitolea madaktari 1000 kuja nchini tanzania na hawatalipwa chochote hadi hapo mgomo utakapopata suluhisho na iran imesema yenyewe imepiga hatua sana kwenye sekta ya afya na haiwezi kuona serikali rafiki yake inaangamia
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Uranium,Tanzaninite twiga,pundamilia,Faru ,meno ya tembo,dhahabu,nikel,cobat,boxite,mbao za mpingo tayari Jakaya Kikwete kisha wapa MOU wavichukue,
  na hao Mandondocha Manesi watafanya kazi na mumiani wa Kiiran
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hivi kwa nini Iran inajipendekeza hivi kwetu!? hapo kuna kitu lazima! is it a pay back after the embargo??
   
 4. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  oh my God what a mess, hii nchi sasa nakubali mia kwa mia ina laana, yaani ndio akili za viongozi wetu zinapoishia, jamani bure haikosi kamba, one of the 48 laws of power is no free lunch, lini tutaelewa hili
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  oook,hatutaki mambo ya udini haya,iran inapigwa vita dunia nzima,,tutaweza kuwasaidia??wanatafuta pakushikia wale,,oook!
   
 6. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Kama tumeanza kushirikiana na Iran tumekwisha. Kama Iran inaona Tanzania ndo nchi rafiki basi kuna tatizo kubwa hapa
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Huu mgomo wa madaktari unaanza kuchukua sura nyingine kabisa. Kama serikali haikuwa makini inaweza kudhani inatatua tatizo la madaktari lakini wakaishia kuiweka nchi rehani na mbaya zaidi tukajikuta kama taifa tuko katikati ya migogoro isiyotuhusu.

  Kuna uzi wenye barua toka seneta wa marekani kwenda kwa rais ikionya kitendo cha Tanzania kuruhusu Iran kutumia bendera ya Tanzania kwenye meli zake za mafuta. Sasa tunaambiwa Iran italeta madaktari tena bure? Tusubiri marekani watasema nini. Uhuru wa nchi uko majaribuni. what a mess?
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  iran inajulikana kuwa inachukua uranium tz..na sasa meli zao zinatembea zikiwa na bendera ya tz
   
 9. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari hii ni ya uongo kama kweli tegemea vita katika uongozi wa JK
   
 10. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  sasa urafiki na iran sijui ulikuwa wa nini na kama iran ni rafiki yetu je adui yetu ni nchi gani
   
 11. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  wadau, hivi kuna nchi yoyote hp duniani imewahi kuwatibu raia wake 100 percent kwa kutumia foreign doctors bila madoc wazalendo? hao wa cuba,china na iran watahitaji vifaa ambavyo sirkali imeshindwa kuprovide na ndio a matter in question ya madaktari sasa. sijawahi kula ban acha nile leo.
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
 13. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  fatilia ndugu usiseme tu ni uongo kaka fatilia,mimi sina haja ya kuleta udaku kwani tabaka tawala nimelichoka
   
 14. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Karibu waarabu,Wenye kufikiri vizuri tunajua kuna jambo!Tutaona mwisho wake hili!Kuwanyima koote haki zao madaktari kumbe tulikuwa tunatafuta namna yakuwaleta wairan tz?Watanzania tuwe macho nahili!
   
 15. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ulafi na ufisadi wa serikali ya Kikwete sasa unaliingiza taifa katika mgogoro wa kidiplomasia. Juzi tumeionya serikali, leo serikali ya Marekani inatoa onyo kwa Kikwete. Sababu IRAN. Watueleze ni kitu gani viongozi wa IRAN wamekuwa wakifuata Tanzania ! Mwakyembe, Membe Rostam na Kikwete Kazi Kwenu


  Tanzania must stop re-flagging Iran tankers: U.S. lawmaker

  WASHINGTON | Fri Jun 29, 2012 1:39pm EDT (Reuters) - Tanzania must stop the practice of "re-flagging" Iranian oil tankers or it will face the threat of U.S. sanctions and damage its ties with Washington, a U.S. lawmaker warned on Friday.

  Howard Berman, the ranking member of the House Committee on Foreign Affairs, accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers owned by the National Iranian Tanker Company.

  "This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research program and its support for international terrorism,"

  Berman said in a letter to President Jakaya Kikwete that was obtained by Reuters. Berman said if the tankers were allowed to continue sailing under the Tanzanian flag, Tanzania could face the sanctions that President Barack Obama signed into law.

  He said Congress would also have "no choice" but to consider whether to continue the range of bilateral U.S. programs with Tanzania.Officials at Tanzania's embassy were not immediately available to comment on Berman's letter.

  The sanctions, along with similar action by the European Union, are aimed at pressuring Iran to curb its nuclear program, which the West believes aims to develop nuclear weapons but which Tehran says is for peaceful purposes. The United States gave China a six-month reprieve from Iran financial sanctions on Thursday. The Obama administration has now spared all 20 of Iran's major oil buyers from its unilateral sanctions, rewarding them for cutting purchases of Iranian oil.

  Below are some of the Super-Tankers that have been renamed, and flying the Tanzanian Flag:

  Davar (previous name): Companion – Tanzania
  Haraz: Freedom – Tanzania
  Susangrid: Daisy – Tanzania
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Believe me, "there is never a free lunch in America!!!!!"
   
 17. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  pasipo mkono wa Mungu wa israel nchi yetu itaangamia kwani imefika stage mpaka tunaanza kutegemea madokta wa nje!!!

  Eee Yesu wa Nazareth hebu tunaomba uiokoe Tanganyika yetu chini ya mikono ya hii brutal govt. Amen
   
 18. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  We're in REAL TROUBLE now! Iran walete doctors 1000 bila kualipwa?
   
 19. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  wamefikiria swala la lugha?
   
 20. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  US hao hapo, wanakuja. Jk hajielewi aelemee mrengo gan. Either Western au kwa Iran.
   
Loading...