Nimekuwa nikiona delegation kubwa za high profile leaders wa Tanzania kwa maana ya Viongozi Watendaji wakuu wa Serikali (Wakurugenzi wa Mashirika, Idara na baadhi ya Makatibu Wakuu wakitumia fedha...
Moja ya Sababu zinazowanyima baadhi ya wabunge usingizi ni ile kuongea mambo tofauti na maendeleo ya jimbo lake tu Bungeni wakasahau mwananchi wa jimbo lake alimpigia kura ili asaidie maendeleo ya...
Ni zaidi ya wiki sasa.mgawo wa umeme unaendelea lakini hakuna taarifa yoyote toka tanesco au mamlaka yoyote ya serikali. Hivi karibuni prof muhongo alikuja na mkwara na mbwembwe za hali ya juu na...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa hatua ya Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu kujiuzulu nafasi hiyo ni pigo kubwa kwake na...
Hii article imeandikwa kwenye gazeti la Guardian la UK. Sasa January ambaye mara kwa mara amekuwa anachukiwa na watu wenye husda na chuki ambao hawatokuwa na nia ya kujadili chochote kile based on...
The Tea Party, which is loosely associated with the Republicans in the USA, they often get a lot of flak in the media. Much of that flak is deserved; the tactics the group and many of its...
MLINZI binafsi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amezua balaa kubwa kwa Chama cha Mapinduzi mkoani Arusha kutokana na sura yake kufafanishwa na ile ya...
Mh Raisi nikupe pole na majukumu yako ya kila siku ya kusimamia taifa lako.kuhakikisha kwamba nchi yetu Tanzania inaendelea kuwepo kwenye ramani ya dunia.Tofauti na wananchi wengi au baadhi ya...
Mimi sitafuni maneno kwamba ni muumini wa Zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa itakayofuatiwa na mashirikiano kati yake na
Tanganyika kupitia Muungano wa Mkataba. Namshangaa leo...
Kwa maoni yangu nina hakika zaidi ya 500%, kuwa katiba tunayoitaka Wananchi haiwezi kukamilika haraka, kama Ratiba ilivyo sasa kuwa kufikia 2014 tuwe tumepata katiba mpya!
Kukimbizwa mbio mbio...
Mwenyekiti wa Taifa Chadema Bwana Freeman Mbowe akiwa ameongozana na Mbunge wa mbeya mjini bwana Joseph Mbilinyi (Sugu) wametembelea jiji la Houston Texas USA kuanzia tarehe 24 hadi 26 August...
Leo Jumapili Mlezi wa chama CDM kanda ya nyanda za juu kusini Ndugu Thomas Nyimbo anatarajiwa kufungua ofisi ya CDM Kidugala tawi la Mkeha. Jana jioni nimefika hapa Kidugala nikakuta watu wengi...
Lile zoezi la uzinduzi wa ofisi ya CDM Kidugala limekamilika kwa ufanisi mkubwa, watu wengi wamekabidhi kadi za CCM na kuchua za CDM akiwepo ADELINA CHAULA aliyekuwa katibu Wa UWT kata ya...
Maneno ya Dr. Kigwangala
Shukrani ziwaendee wapiga kura wote wa Mkutano Mkuu wa UWT Mkoa kwa kumchagua mke wangu kipenzi cha roho yangu DR. BAYOUM A. KiGWANGALLA kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT...
NEWS
Fishermen in Lake Malawi have been caught in the middle of the border dispute. Photo/Ding Haitao Xinhua
By ROSEMARY MIRONDO Special Correspondent
Posted Saturday, October 6 2012 at...
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akihutubia wananchi wa kaya ya daraja Mbili Jijini Arusha jana..
Lema na dogo janja Nassari
Lema akimkabidhi kadi ya uanachama Mzee Zakaria aliehamia...
Kama ulikuwa na 3 wakati Ule EPA inatokea, haukufanya lolote kuzuia. Rushwa ilitawala kila kona, na Boss wako akajimilikisha mgodi wa kiwira, je haukujua? Mh Waziri mkuu, sifa za kuingia Ikulu...
Jamani hakuna siku sintasahau kama siku uchaguzi wa ccm wilaya arusha,tulikuwja na mgombea wa mkutano mkuu Taifa,tumwita namba saba,kaka wa watu tulimpa kura za kishindo,lakini matokeo yake,kura...
1. Rais Kikwete anajiachia kimaraha jamani! 2. Madaraka matamu jamani! 3. CCM na Serikali yake ni wanafiki jamani! 4. CHADEMA iendeleze na kuongoza mapambano hata katika majimbo wanayoyaongoza 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.