Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Oct 2, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Muda huu ukumbi wa mahakama umefunguliwa, watu wamejaa ndani ya ukumbi.

  Lissu ameshawasili, anasalimiana kwa kukumbatiana na Alute.

  Tutawajuza kila kinachojiri

  MORE UPDATES:

  - Bado ukumbi umetulia, namwona Cecilia Pareso ameingia.

  - Kamanda Lema ameingia, namwona na wapinzani wake kwenye kesi hii Musa Mkanga na Agness Mollel nao ndani ya nyumba.

  - Majaji wameingia. Kesi imeanza...

  - Method Kimomogoro na Lissu wanawakilisha rufaa.

  - Upande wa pili unawakilishwa na Modest Akida na Alute.

  - Wote wapo tayari kuendelea na shauri.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Pamoja kamanda
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru kwa update mahakama itatenda haki tuheshimu maamuzi yoyote.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  At least sasa amepatikana mtu wa kuweka uzi wenye mashiko.
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru sana.

  Tuko pamoja. Natangaza kuyapokea maamuzi ya mahakama kwa moyo mkunjufu.
   
 6. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Vizuri sana endelea kutupia kila kinachojiri
   
 7. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  tuko-connected, tujuze yanayojiri mkuu
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  I am puzzled!

  Hivi leo ni siku ya hukumu au ni muendelezo wa kuchambua hoja na hukumu itatolewa siku nyingine?
   
 9. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  bado simu haijatoka Ikulu?
   
 10. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  leo ni hukumu mdau
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwani leo ni siku ya hukumu?
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Leo ndio maamuzi ya rufaa yanafanyika...so either uchaguzi urudiwe au Lema arejeshewe ubunge...Ndio hukumu yenyewe
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa kunielimisha,basi tusubili hiyo hukumu!!!
   
 14. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Mdau si kesi hatua ya leo ni hukumu dhidi ya rufaa, weka vzr heading yako
   
 15. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...pamoja.
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Tutaheshimu maamuzi ya haki tu!
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  hahaaa! Mkuu Molemo nakumbuka maneno yako kuwa wewe ni chadema, mke wako ni chadema, na watoto wako ni chadema, kesi hii Lema........ Malizia mwenyewe
   
 18. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  kama kawa! Jk kawaadaha watu kwa kwenda nje, kumbe maagizo kashaacha.
   
 19. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unajua Ritz huwa unanifurahisha sana na comments zako, vp wenzetu nyie wa System huenda mnafahamu maamuzi ya mahakama yatakayo tolewa leo.....hahaaaaa
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  mods toeni msaada wa kubadilisha heading
   
Loading...