Three brothers ndani ya Simanjiro; wamasai wajivua magamba, kadi zagombewa kama njugu!

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
M4C YATUA NYUMBANI KWA OLE SENDEKA HUKO TERATI SIMANJIRO
makala4.jpg

Jackson Makala na James Olle Millya

lema1.jpg

makala1.jpg
Wananchi wakigombea kadi kutoka kwa Lema

makala2.jpg

makala5.jpg

makala6.jpg

Kwenye mkutano

HII ILIKUWA JANA
 
mpaka kieleweke! Ccm ata wauwe wote, wam2mie cjui zitto! Maisha halisi ya watanzania ndo yana waumbua' watz 2mepigika eet
 
M4C YATUA NYUMBANI KWA OLE SENDEKA HUKO TERATI SIMANJIRO
makala4.jpg

Jackson Makala na James Olle Millya

lema1.jpg

makala1.jpg
Wananchi wakigombea kadi kutoka kwa Lema

makala2.jpg

makala5.jpg

makala6.jpg

Kwenye mkutano

Chadema mbona mnaleta uhuni hii picha inamuonesha Lema yupo Simanjiro leo, kuna uzi mwingine umeanzishwa na Mungi, anasema Lema yupo Arusha.
 
Chadema mbona mnaleta uhuni hii picha inamuonesha Lema yupo Simanjiro leo, kuna uzi mwingine umeanzishwa na Mungi, anasema Lema yupo Arusha.

Sio Uhuni mkuu, hii weza ni kuchelewa tu kuwa posted. Weza kuwa ni jana.
Lakini pia usishangae. M4C inaeza piga mikutano hata saba kwa siku. Vitendea kazi vipo na wananchi hujitolea vyao.

Umeiona ile Range Rover ya Meru Magharibi???
 
Chadema mbona mnaleta uhuni hii picha inamuonesha Lema yupo Simanjiro leo, kuna uzi mwingine umeanzishwa na Mungi, anasema Lema yupo Arusha.
hukuwa na sababu za msingi ku quote ujumbe mzima na picha, so annoying
 
Chadema mbona mnaleta uhuni hii picha inamuonesha Lema yupo Simanjiro leo, kuna uzi mwingine umeanzishwa na Mungi, anasema Lema yupo Arusha.
Ritz, ndg yangu hiyo chadema, wanaweza kufanya mikutano hata kumi kwa siku, karibu chadema, njoo tuunganishe nguvu zetu, acha kutumika kuipinga chadema, tupo kwa ajili ya ukombozi wa mwanao, dada yako, baba yako na hata shangazi yako, M4C haitasalimisha chochote, take my point
 
lema jamani lema ....waonee huruma japo kiduchu hawa makuwadi wa rasilimali zetu - CCM...
 
Now i believe that CCM is going to be opposion part soon

NO NO NO... WE SHOULD NOT ALLOW CCM 2B OPPOSITION PARTY. 4WAT THEY HAVE DONE CCM SHOULD BE DELETED FROM LIST OF TANZANIAN POLITICAL PARTIES. IKI CHAMA LZM TUKIJENGEE HOJA NZITO ILI KIFUTWE KABISA. DATS MY TAKe
 
..jamani wapi naweza kununua shuka kama lile analovaa Dr.Slaa??

..nahitaji kama matatu hivi niwe navaa nikienda kazini!!
 
..jamani wapi naweza kununua shuka kama lile analovaa Dr.Slaa??

..nahitaji kama matatu hivi niwe navaa nikienda kazini!!

Mkuu joka kuu kuwa mwangalifu usije ukopoteza kibarua buree.....Hawa magamba wsnapiga vita kila mahali..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom