Kwa malumbano yalivyokuwa kati ya Sumaye na viongozi wa CCM ni wazi kuwa game inasogea karibu kabisa na mahali pa ama sumaye ama CCM mmoja anahitaji ondoka mpisha mwingine. Na tayari Sumaye...
Mbunge wa Ubungo, Mh John Mnyika akimnadi mgombea wa chama chake Msubi Bukuku katika uzinduzi wa kampeni kuelekea uchaguzi wa Udiwani Kata ya Msalato, Dodoma jana
Leo mbunge Msigwa akisindkizwa na mbunge wa arumeru mashariki Mh. Nassari aka dogo janja wamepiga mkutano wa nguvu iringa mjini, katika mkutano huu kada wa zamani alie vua gamba na kuvaa gwanda...
Kwa wanaofuatilia matukio ya nyanja mbalimbali visiwani Zanzibara watakubaliana nami kuwa mambo haya hayana tafsiri za kufanana kati ya wazanzibar na watanganyika kama si na wengine duniani...
Ni Prosper Msoffe, anayegombea kiti cha udiwani kata ya Daraja Mbili.
Alikamatwa usiku wa Jumatatu na askari polisi baada ya Diwani huyo mtarajiwa kuingilia kati sakata la askari wa Manispaa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) amewambia waandishi wa habari kuwa Malawi haiwezi kuipeleka Tanzania katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ili...
Hivi karibuni nilitembelea Butiama kuzuru makazi, kaburi na Makumbusho ya Mwl. Nyerere.
Kitu kilichonisikitisha na kunishangaza ni kwamba mtu haruhusiwi kuona kaburi la Baba wa Taifa hadi alipie...
CCM walikuja na hii scam ya wabunge wa kuteuliwa kwa sababu ya jinsia na sio merit kama yule mama anaiyeitukana JF kila kukicha, Mchungaji Rwakatare ambaye naona anakula sana pesa za walipa kodi...
Uchumi wa Zanzibar kukua kwa asilimia 7.5
na Nasra Abdallah, Zanzibar
KATIKA mwaka huu wa fedha, 2012/2013, uchumi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar unatarajiwa kukua na kufikia...
Hatimaye Mzee Mkono amekubali matokeo na kunywea baada ya panga kumpitia
Mmoja ya watu walijitokeza kugombea uenyekiti kupitia jumuiya ya wazazi wa Chama Cha Mapinduzi-Taifa, Nimrod Mkono...
Wakuu sasa labda haya ni maagizo au ni kitu gani, subjected to debate. Leo kulikuwa na mikutano miwili ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo Kata ya Msalato, Manispaa ya Dodoma, nje kidogo ya...
Katika uchaAguz wa CCM moshi mjin uliomalizika muda mfupi uliopita katika nafasi ya mwenyekiti wa wilaya ya moshi mjini BI.ELIZABET MINDE AMEIBUKA MSHINDI HUKU NAFASI YA MNEC IKICHUKULIWA NA BWANA...
Kila hatua ndani ya CCM ni rushwa, kila cheo ndani ya CCM ni rushwa maisha yeyote ya cheo ndani ya CCM ni rushwa. Karibu kila kiongozi ndani ya CCM katoa rushwa na kupokea rushwa. Rushwa yamekuwa...
Raisi mstaafu ali hassan mwinyi na Raisi mstaafu wa MALAWI Bakili muluzi wamekutana kwa maongezi ya falagha pembezoni na shughuli iliyompelekka ya jitmai,
Katika mazungumzo hayo yalihusu mgogoro...
Mh Mansoor Yussuf Himid amewataka baadhi ya watu kutokuwa wepesi kwa kuwanyooshea vidole wenzao kwa sasa ni wakati wa kuzungumza kweli tena bila ya uwoga hasa katika mustakbali wa wazanzibar na...
Katika taarifa ya habari itv uvccm morogoro wamegomea uchaguzi kisa hawajapewa chai.Ila baadae walikubali kuendelea na zoezi.Duuh ccm kiboko chai tu izuie uchaguzi
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema leo kimefanya mkutano wa hadhara ambao umehudhuliwa na mamia ya watu,viongozi kadhaa wa chama walikuwepo miongoni mwao ni Mh.Nassari,Mh.Msigwa na kamanda...
Hivi vyama vya siasa vinapata pesa za serikali/wananchi hivyo katika hali ya kawaida tuligemea CAG na ofisi yake iliyotukuka wangekuwa wanakagua mahesabu ya hivi vyama na kuweka taarifa zote za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.