Mgombea udiwani wa CHADEMA Arusha akamatwa na Polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea udiwani wa CHADEMA Arusha akamatwa na Polisi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mpinga shetani, Oct 9, 2012.

 1. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ni Prosper Msoffe, anayegombea kiti cha udiwani kata ya Daraja Mbili.

  Alikamatwa usiku wa Jumatatu na askari polisi baada ya Diwani huyo mtarajiwa kuingilia kati sakata la askari wa Manispaa kuwapiga na kuwanyang'anya bidhaa, wafanyabiashara wadogo aka Machinga.

  Inadaiwa kuwa Msoffe alihoji kwa nini mgambo hao wanapora mali za watu usiku maana nyakati hizo ofisi za manispaa huwa zimefungwa.

  Hata hivyo wale migambo walionakana wakipiga simu na muda mfupi baadae gari la polisi lilifika na Msoffe akatiwa mbaroni.

  Amelala lock-up usiku kucha na hivi sasa Mr Godbless Lema yupo kituoni katika harakati za kumtoa.
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hapo pana Diwani makini, mpeni kura huto haraka.
   
 3. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mgambo nao wanafanya kazi kwa overtime siku hizi
   
 4. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  UKIMPIGA CHURA TEKE UNAMPUNGUZIA UREFU WA SAFARI. Hivyo Policcm wasidhani wamemkomoa bali ndo wamemuongezea umaarufu na kumjenga zaidi kisiasa. Kwani kuanzia sasa ataitwa NELSONI MANDELA WA DARAJA 2
   
 5. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakuna marefu yasio na ncha, mwisho wa rough utafuka tu.
   
 6. k

  kindboy Senior Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Pole sana Kiongozi Msofe, huo mpango mkakati naona utakusaidia kuupata udiwani , naona Police wameshakusaidia kampeni bila kujua , good strategy
   
 7. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,320
  Likes Received: 1,496
  Trophy Points: 280
  Hapa tayari wameisha mpa credits za kutosha kwa wapiga kura, Magamba bana, sometimes wanakaba hadi wanajifunga wenyewe! Kucheza mpira huku una tension namna hiyo, bora usilete timu uwanjani, Aibu!
   
 8. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Yani nchi hii ukihoji kuhusu haki basi wewe unakuwa muhalifu on the spot.
   
 9. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hawa mgambo ni vilaza kama walivyo Polisi,Nafurahi kusikia kamanda Lema yupo kituoni kumtoa,akitoka hapo moja kwa moja sokoni kuwaeleza wananchi jinsi Mgambo wanavyowahujumu usiku.
   
 10. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wamekwisha Nelson mandela kapatikana tena....nenda uaraiani kawaeleze wananchi dhuluma hii.....Aluta continue!!
   
 11. Jaji

  Jaji Senior Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli upinzani umeongezeka hadi migambo?
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi hawa watu bao wapo?
  jeshi la akiba.
  hawa wanafaa sana kwa vita ya miguu kwani ukiwatanguliza wakati wanashambuliwa weweunajipanga kujua adui yuko wapi.
   
 13. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Polisi bado wanatumika na chama cha magamba! Yule mwenzao wa iringa ananyea debe sasa kwa kumuua Daudi Mwangosi.
   
 14. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  CCm bana......ukihoji unakuwa mhalifu wewe,

  wamempiga chura teke kwa nyuma.......watasoma plate number kwenye vumbi!
   
 15. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania haki ina gharama kuliko dhuluma!
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Credit za bwerere hizo.....go go kamanda Msofe
   
 17. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Freedom its coming tomorrow.....I have seen women dancing daraja 2, fighters dancing, nyinyiem joining shouting ....viva Tanganyika,VIVA Tanzania , I Saw an old man with grey hair stand on a plat form stated to address 'Thank u ladies and gentleman for supporting us during pulling down/out.....corruption system in our community.........' aah it was my dream I wake up.
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  songa mbele.........
   
 19. p

  pazzy Senior Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mwisho wa haya unakalibia...nikweli hivi sasa ameletwa hapa mount meru hospital watu wamejaa kweli...!
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Manispaa ilikuwa na shift ya usiku? Hao siyo Mgambo, bali askri mgambo waizi wa manispaa!
   
Loading...