Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh Ismail Jussa amewapongeza wanachi kwa kujitokeza kwao kwa wingi sana katika kongamano lilofanyika leo Bwawani. Pia ameipongeza kamati ya maridhiano kwa kitendo cha kuwakatisha tamaa wale wote...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Wadau: Jeneral tena leo, katoa hii kali kuwapasha magamba. Angalia (kwenye highlight in red) anvyowakejeli vijana wanaoingia katika chaguzi zinazoendelea katika chama cha magamba – kwamba haamini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Ahmed Rajab KUNA zama ambapo Zanzibar ilikuwa haikugawika kisiasa. Bila ya shaka kulikuwa na matabaka ya kijamii na watu walikuwa na tofauti zao za kimaisha, lakini kwa jumla Wazanzibari wote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania yaishitaki Malawi UNJUMAPILI, SEPTEMBA 30, 2012 09:49 NA MWANDISHI MAALUMU, NEW YORK HATIMAYE Tanzania ’imeishitaki’ Malawi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusisitiza...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
  • Closed
Mh Lipumba juzi Ijumaa alikuwa katika msikiti wa Haq huko Morogoro na kuwataka waislam kutorudi nyuma kuhusu kudai madai yao ya msingi hapa tz i)Kuitaka CCM kutekeleza ahadi yake ya mahakama ya...
0 Reactions
250 Replies
16K Views
"WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi ametengua uamuzi wa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Ilala (RCO) Duwani Nyanda, wa kujichukulia sheria mkononi na kutoa uamuzi ambao ulipaswa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
From Mwananchi, Monday, 08 October 2012 07:34 James Magai WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi ametengua uamuzi wa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Ilala (RCO) Duwani Nyanda, wa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna watafiti; wanaotafiti na kuchimbua historia ya watu, mazingira [maeneo] na mtukio yake. Wapo wanaochimba na kupembua habari za watu na matukio...hata hivyo, nimechunguza kwa haraka nje-ndani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi sana wa mienendo ya kisiasa nchini Bongoland. Ninatumia jina Bongoland makusudi kutokana na hoja yangu hii hapa chini: Katika miaka ya hivi karibuni (miwili, mitatu iliyopita)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jumamosi nilikuwa kwenye uzinduzi wa kampeni za mgombea udiwani kata ya daraja mbili jijini Arusha, uliokuwa unaongozwa na makamanda wa nchi kavu,mbunge wetu kipenzi Godblees ambaye magamba...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba tujadili pamoja,je,serikali yetu inabana matumizi?Naona badala ya kubana ina matumizi mabaya.
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Wanabodi. Imepita mwezi na siku kadhaa toka yafanyike mauji ya Mwandisi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Daudi Mwangosi, baada ya kuuliwa na polisi kwa kuripuliwa na bomu. Chama Cha...
3 Reactions
112 Replies
10K Views
Ni jambo la aiubu kwamba serikali hii ya hapa bongo imeshindwa kuokana na aina moja ya pesa na kubaki na nyingine. Kinachokera zaidi ni kwamba pesa ambazo ziliingizwa katika mzunguko kama mbadala...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Rufaa ya mbunge wa Sumbawanga Mjini Mh.Hiraly kupitia chama cha CCM imetupiliwa mbali na mahakama kuu hivyo ni nafasi nzuri kwa chama cha M4C kujipanga kuchukua jimbo hilo. :canada:
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MLINZI binafsi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amezua balaa kubwa kwa Chama cha Mapinduzi mkoani Arusha kutokana na sura yake kufafanishwa na ile ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Imekuwa ni kawaida kwa CCM-Mafisadi na CUF kusomba wananchi toka maeneo ya mbali kwenda kufanywa hadhira kwenye mikutano ya vyama hivyo ugenini; mfano, jana CCM ilisomba wananchi kadhaa toka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF, Ni miaka 13 toka Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere atutoke, Alizaliwa tarehe 13 Aprili, 1922. Alifariki dunia 14 Oktoba, 1999, daima atakumbukwa kuwa: Ndiye rais wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jumamosi iliyopita nilikuwa miongoni mwa makamanda kadhaa wa kadhaa kutoka Morogoro Mjini waliokwenda kuchagiza ushindi wa Mgombea wa CDM ndugu Lukas Mwakambaya ambaye ki uhakika ni kijana jasiri...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Mwandishi Wetu Toleo la 261 3 Oct 2012 Mbunge acharuka, ushauri wa Mwanasheria Mkuu wasubiriwa UUZAJI wa vifaa vya mtambo wa kuzalisha chumvi katika Mgodi wa Chumvi Uvinza mkoani...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza V4C iliyozinduliwa na CUF imejulikana lengo lake kubwa ni kufanya kampeni za Urais kwa ajili ya mgombea wa kudumu wa chama hicho Prof Ibrahim Lipumba. Katika mkutano...
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Back
Top Bottom