Marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Bakili Muluzi wafanya mazungumzo ya siri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Bakili Muluzi wafanya mazungumzo ya siri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Oct 8, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  Raisi mstaafu ali hassan mwinyi na Raisi mstaafu wa MALAWI Bakili muluzi wamekutana kwa maongezi ya falagha pembezoni na shughuli iliyompelekka ya jitmai,
  Katika mazungumzo hayo yalihusu mgogoro wa ziwa nyasa;

  Mpaka sasa haijafahamika wamefikia makubaliano yapi kuhusiana na na mgogoro wa ziwa nyasa.

  Safari hii ya Raisi mwinyi imeandaliwa na mwenyeji wake Raisi Bakili muluzi
   

  Attached Files:

 2. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Hawana Sauti tena waongee hivyo hivyo kwa siri tu

  sijui walisahau nini walipokuwepo madarakani
   
 3. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukubwa dawa..,
   
 4. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwinyi ana tamaa sana ataliuza ziwa haya mi nimeshawaambia
   
 5. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  ooh....hebu jaribu kupendekeza....nani angefaa kuwemo kwenye timu ya makubaliano?
   
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wote walikuwa mafisadi hata kama ni mashehe. Hawana jipya zaidi ya kumshukuru Mungu kwa kutoishia lupango kutokana na ujambazi waliofanya. Shame on you and to hell with you noble thieves,.
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  aliuze kwa nani? bakili muluzi?
   
 8. m

  mourad77 Senior Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha kashfa wewe unaelekeaza kujificha kwenye chuki za kidini fwala wewe
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mourad77 kama mimi "fwala" wewe senge au siyo. Yaani hujui kuwa hao jamaa walikuwa mafisadi wa kutupwa? Hujui kuwa Kikwete alitengenezwa na Mwinyi huku Muluzi akiiba pesa Malawi na kuwekeza kwenye shule za Sekondari zinazoendeshwa na John Komba? Shame on you and you can go to hell.
   
 10. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Je, Ziwa Nyasa liende Malawi? - Rukhusa!!!!!!
   
 11. T

  Technology JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Wewe father of all acha chuki za kidini.
   
 12. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hauna jema hata moja wewe!
   
 13. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Yakheeeee! huyu mama Banda asitukosanishe shekhe.
   
Loading...