Kwanini CAG hakagui vyama vya Siasa?

BondJamesBond

Member
Jul 6, 2011
85
60
Hivi vyama vya siasa vinapata pesa za serikali/wananchi hivyo katika hali ya kawaida tuligemea CAG na ofisi yake iliyotukuka wangekuwa wanakagua mahesabu ya hivi vyama na kuweka taarifa zote za ukaguzi hadharani

sasa kinaendelea nini mbona hationi hizi taarifa za hivi vyama (ccm NA upinzani)

samahani kama nitakuwa nimewaudhi kwa kuuliza
 
Umesema sawa sawa. Ila vyama vya siasa vinakaguliwa na msajili wa vyama vya siasa.
Hivyo mahesabu ya vyama vya siasa yapo kwa msajili wao.
Labda baada ya kukaguliwa, mahesabu hayo yawekwe hadharani.
 
Kama wanapata pesa toka serikalini inamaana ni pesa za wananchi

Je msajili wa vyama vya siasa anazo qualifications kama mkaguzi mkuu wa mahesabu wa serikali?

wataalam tunaomba mtuweke sawa juu ya hili
 
Hakagui kwasababu vyama vya siasa haviwajibiki serikali, havipangiwi kazi na serikali, siyo mashirika ya umma, kuvikagua ni kuvinyima uhuru! That is the logic behind! Unafikiri ingekuwa rahisi CCM wasingependa CHADEMA ikaguliwe?
 
Hivi vyama vya siasa vinapata pesa za serikali/wananchi hivyo katika hali ya kawaida tuligemea CAG na ofisi yake iliyotukuka wangekuwa wanakagua mahesabu ya hivi vyama na kuweka taarifa zote za ukaguzi hadharani

sasa kinaendelea nini mbona hationi hizi taarifa za hivi vyama (ccm NA upinzani) samahani kama nitakuwa nimewaudhi kwa kuuliza
BondJamesBond ruzuku ya vyama vya siasa ni matumizi kwa upande wa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ambayo iko chini ya Wizara ya Sheria na Katiba hivyo kimsingi matumizi ya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inakaguliwa kila mwaka.
 
Last edited by a moderator:
Kama wanapata pesa toka serikalini inamaana ni pesa za wananchi

Je msajili wa vyama vya siasa anazo qualifications kama mkaguzi mkuu wa mahesabu wa serikali?

wataalam tunaomba mtuweke sawa juu ya hili

Kwa hiyo leo hii ukifadhiliwa na serikali kuanzisha mradi utakubali CAG awe anakukagua kila mwaka?
 
Back
Top Bottom