Chadema yaondoa fitna iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yaondoa fitna iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WISTON MWINUKA, Oct 8, 2012.

 1. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Chama cha demokrasia na maendeleo chadema leo kimefanya mkutano wa hadhara ambao umehudhuliwa na mamia ya watu,viongozi kadhaa wa chama walikuwepo miongoni mwao ni Mh.Nassari,Mh.Msigwa na kamanda Bananga ambae amejiunga na CDM akitokea CCm yapata miezi mitano iliyopita.Mambo mengi yamezungumzwa na viongozi hawa walipokuwa wakihutubia hapa manispaa ya Iringa katika eneo la Mwembetogwa ambapo ndipo mkutano umefanyika,Viongozi hawa wa CDM wamewataka wana Iringa kutodanganywa na wanaopita mitaani kukitukana chama na kumkashifu Mh.Msigwa,Pia wamelaani vikali mauaji ya muandishi wa habari Daud Mwangosi na wamemshangaa Mh.Rais kwa kushindwa kutoa hata rambirambi kama alivyofanya kwa marehemu Kanumba!Viongozi hawa wamewataka wananchi kutohofia kufa ili ukombozi wa kweli katika nchi hii uweze kupatikana.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  weka mapicha mkuu, wengine ni kama tomaso
   
 3. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Weka picha tupambanue vzuri mkuu
   
 4. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Vizuri ila tupia ata ka jpg....
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu mkutano umehudhuriwa na maelfu kwa maelfu ya watu.Nimefanikiwa kuzipata picha nitaweka asubuhi.
   
 6. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  fitina ipi hiyo
   
 7. k

  kilaboy Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Fitina ya kusema kuwa Chadema ni wauaji na watu wa Vurugu.
  Embu jaribu kujiuliza kwanini hakukuwa na vurugu kwenye mkutano wa leo
   
 8. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  431688_423470804366905_1317499443_n.jpg Hali kama ivi mkuu
   
 9. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Wananchi wanachagua mchele ni upi na makapi ni yapi!!!
   
 10. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  M4C with no apology!
   
 11. k

  kamandamakini Senior Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 12. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo haziwezi tokea vurugu bila polis ccm kuingilia!
   
 13. P

  Pepo Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yakupasa kuamini
   
Loading...