Mgombea wa Chadema Kata ya Msalato Dodoma, Msubi Bukuku akinadiwa na John Mnyika jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa Chadema Kata ya Msalato Dodoma, Msubi Bukuku akinadiwa na John Mnyika jana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Oct 8, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mbunge wa Ubungo, Mh John Mnyika akimnadi mgombea wa chama chake Msubi Bukuku katika uzinduzi wa kampeni kuelekea uchaguzi wa Udiwani Kata ya Msalato, Dodoma jana
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  wananchi ndo hao walioko nyuma yake?
   
 3. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mpiga picha si mtaalamu mzuri wa kazi hiyo.
   
 4. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nilikuwepo eneo la tukio, kulikuwa na watu wengi sana, hivyo hao waliopo nyuma ya akina Mnyika ni baadhi tu ya viongozi waliokuwepo, wananchi walikuwa mbele ya hao viongozi! Nazani lengo la mweka picha alitaka kumwonyesha mgombea wa CDM na sio watu waliohudhuria mkutano huo!
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mpiga picha nadhani hakukaa katika position nzuri tu...
   
 6. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Ndiyo hao ni wananchi ambao ni baadhi ya viongozi
   
 7. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  safi sana,twanga kote kote, mpaka hapo katikati ya nchi!
   
 8. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Go Go Go makamanda... hadi kieleweke
   
 9. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nafikiri lengo la mpiga picha ilikuwa ni kumuonesha mgombea na Mnyika akiwa anamnadi! Tunaomba aturushie picha nyingine zinazokidhi siasa za mtandaoni! Mimi nimeongea na watu wa dodoma waliohudhuria mkutano maana mimi huko ni nyumbani wamesema tumewafunika CCM kwa mbali sana, wao walitumia malori kama kawaida kusomba wananchi toka maeneo mbalimbali, CHADEMA tulifanya mkutano na wananchi wa kata msalato!
   
 10. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Asante sana kwa taarifa mpiga picha,wenye akili wameielewa vizuri hawa wanaoikosoa ni magamba yaliyooza.
   
 11. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Amsha,amsha mpaka 2015!!!!!!!!!!!!
   
 12. S

  Shembago JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongereeni wana Msalato hakikisheni kiti hicho kinakwenda CDM
   
 13. piper

  piper JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Keep it up

  • :poa
   
 14. M

  M.L. Senior Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unahutubia watu kimgongo mgongo? Camera imemwangalia mhutubiaji imewapa kisogo hadhira.
   
 15. w

  wauwau JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 705
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi ilikuwa inaruhusiwa picha moja au mnajaribu kuficha ukweli.Hivi tena Mnyika na viongozi aliokwenda nao amabao wanaonekana nao wna kura zao. Magwanda bwana
   
 16. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  kwa kutumia akili ndogo tu inawezekana mgombea na anayemnadi wawape mgongo wapiga kura??kabla ya kuuliza swali uwe unatafakari kwanza!
   
Loading...