Lipumba, Mbatia na Cheyo ndani ya dakika 45 za ITV

mmmh, sentensi za mwanzo tu za Lipumba karusha dongo zito mno.
 
Ni kwenye kipindi cha Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere ITV.

Jamaa amesema kwa kujitutumua akifafanua kauli ya Mwl. Nyerere kwamba Ikulu si pango la walanguzi.

Kwa mbwembwe nyingi Lipumba amesema Raisi hachaguliwi na wananchi ili awe mtu wa kusafirisafiri na kuwa Vasco da Gama mpya. Akaongeza kwamba raisi hatakiwi mtu wa kuhakikisha mtoto wake anakuwa tajiri.
 
CHEYO: Mwalimu angeiona Tanzania ya sasa angelia watu wanakimbilia UNEC kwa gharama kubwa
 
cheyo katengua kampeni moto yake ya kujaza mapesa.anahisi imechochea rushwa
 
lipumba atajibehave kidogo hapa udini atauficha.wote magamba-b .wanaviziana tuu.
 
mbona hakuna CDM au CCM? uchaguzi wa hawa waliopo umeangalia nini?
 
Sioni mwanamapinduzi hapo, sioni kiongozi hapo, sioni hata mmoja anayemfahamu vizuri Mwl. Nyerere na falsafa yake ya ujamaa na kujitegemea. Wote ni waganga njaa tu....
 
Sioni mwanamapinduzi hapo, sioni kiongozi hapo, sioni hata mmoja anayemfahamu vizuri Mwl. Nyerere na falsafa yake ya ujamaa na kujitegemea. Wote ni waganga njaa tu....

Wape muda utaona wanaongea vitu visivyo weza unganishwa na kuleta consistent set of ideas.Ingawa wapo kipindi duni na mwaswali duni ,bado hawawezi ongea wakipendacho kwa ufanisi.
 
Hakuna hata mmoja anayeweza kuchambua falsafa za mwalimu Nyerere!
Lipumba Udini.........ambao Nyerere aliupinga.
Cheyo............walewale wanafiki tu
Mbatia.......malizia mwenyewe!
 
Leo katika kipindi cha dakika 45 naona wamekaribisha wenyeviti wa vyama vidogo bila kuwa na uwakilishi kutoka CCM wala CHADEMA . Waliohudhurulia ni-
1. Prof Ibrahim Lipumba-CUF
2. John cheyo-UDP
3.Mbatia-NCCR MAGEUZI
Wanajadili mamby ya uchumi wa Tz.
 
hahahahhah na CCM je?

CCm ni bwana wa kiafrika anayekula kilo moja ya Nyama pekee yake halafu anapekeleka kilo moja kwa familia na ikifika mezani anawekewa wa kwanza ili apate nguvu ya kuongeza uzazi holela wakati wengine wanakufa.Wao huwa wana vipindi vyao pekee yao na marudio pia
 
Back
Top Bottom