Agrey Mareale na Elizabet Minde waibuka kidedea Moshi mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Agrey Mareale na Elizabet Minde waibuka kidedea Moshi mjini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magesi, Oct 5, 2012.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika uchaAguz wa CCM moshi mjin uliomalizika muda mfupi uliopita katika nafasi ya mwenyekiti wa wilaya ya moshi mjini BI.ELIZABET MINDE AMEIBUKA MSHINDI HUKU NAFASI YA MNEC IKICHUKULIWA NA BWANA AGREY MAREALE BAADA YA KUMBWAGA BWANA BUNI RAMOLE.KAMWE CCM HATA WAKIMCHAGU MUNGU MOSHI MANISPAA MBUNGE NI JAPHAR MICHAEL KUANZIA 2015 M4C DAIMA
   
 2. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,636
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Hongera magamba kwa kupanga timu ya ushindi,CDM mnalalama nini nyie si hamtaki kuchaguana vyeo mnapeana.
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa Moshi, CCM kudhani wataweza kupata ubunge ni sawa na mtu anayekaa na kungojea Jogoo lake litage mayai.
   
 4. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wanachekesha mno, eti mama Minde ndio aongoze jahazi lao Moshi Mjini na wategemee ushindi!!!
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Minde anataka kucontest ubunge x ya 4
   
 6. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Kwani mkuu unadhani ni nani wa ccm anayeweza kuongoza jahazi lao Moshi mjini na wakategema ushindi?
   
 7. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mbona wote wawili ni mafisadi wanaonuka? Huyu Aggrey Marealle si ndiyo alishiriki vilivyo kwenye ujambazi wa EPA akishirikiana na Peter Noni. Ingawa anaonekana tajiri, ni fisadi wa kunuka. Huyo dada yake Anna Mkapa anajulikana alivyo sisemi mengi.
   
 8. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwa kuliweka hivyo nakubaliana na wewe, simuoni mwenye ubavu Moshi Mjini!!!
   
 9. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Huyo Elizabet Minde mimi nilianza kumsikia akijaribu mambo ya siasa tokea sijaota meno, jamani kwani CCM hawana watu wengine?
   
 10. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  huyu Agrey Marealle hakubaliki pale moshi mjini .... PR yake ni ubishoo ....
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wapo lakini si unajua kwamba CCM ina wenyewe?
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kabla sijakuporomoshea kitu jieleze unamaanisha nini?
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  MAMA MINDE alishindwa enzi za shemeji yake che MKAPA leo ataweza?
   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ni kweli mama minde wa long kwel kwenye kugombea post za magamba, enzi toka niko o level nadhan magamba kwa mo town hawana jipya
   
 15. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha mkubali mkatae ukweli unabaki palepale. Uchaguzi wa ccm unawanyima usingizi cdm. Matokeo yote ya chaguzi hizi yanaletwa na wana chadema. Halafu wanajitia wanasanifu. Sasa huko moshi aggrey mareale walimwomba sana ajiunge na chadema. Eti ccm inakufa lakini wameula wa chuya. Chadema inabeba vivulana vianafunzi vitaka shari na maisha ya haraka siyo watu wa maana wenye upeo na uwezo wa kuongoza kama hawa ambao kila kukicha wanaandamwa ohoo kilango ohoo sumaye ohoo magufuli ohoo lowasa. Sizitaki mbichi hizi hofu ya haya majembe ndo kifo cha cdm 2015. Fanyeni kampeni wee tutawakuta huko huko majukwaani 2015 sasa hivi tuko busy na ujenzi wa miundo mbinu.
   
 16. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  almasiomary hao watu wa ccm ndio wanaomba kujiunga na Chadema kadri wanavyoona hali zao ni nyembamba huko kwao.
  Hata hivyo siasa si kama unavyoichukulia kirahisi rahisi, kuna namna ya kudeal na issues na watu. Kama mtu ni msafi huko ccm akitaka kujiunga na Chadema milango iko wazi na usitarajie kumuona fisadi akitafuta kujiunga na Chadema hata siku moja!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Nitashangaa sana kweli kama huyo mama Minde bado anababaisha watu Moshi.
  Ujasiri aliupata enzi ya shemeji yake akidhani wako juu ya sheria baada ya shemeji kuwa Raisi. Alipoukosa ubunge alitaka kuruka kichaa, nasikia alilazwa kwa shinikizo. Sasa safari hii watamfanyia kitu mbaya zaidi. Huo ujasiri wa kurudi tena sijui kaupata wapi.
  Ninachojua ni kwamba huyo Mama ana roho mbaya sana. Wananchi watakaojidanganya kumpa kura baadaye watasikitika sana. Anachotafuta zaidi ni uwaziri. Kwa kumbukumbu nilizo nazo yuko tayari kuwanyima mwananchi haki zao kwa ajili yeye aneemeke. Kinachoshangaza sana ni kwanini hii ndiyo aina ya watu wanaotafuta uongozi kupitia CCM???
  Hii ni aina ya watu ambao ni hatari sana kwa Taifa letu. Kuendelea kuongeza idadi yao Taifa halitakaa libadilike na maadili yatazidi kuporomoka.
  Mungu ibariki Tanzania.
   
 18. M

  Magesi JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Japhar ni mbunge wa CDM kuanzia 2015 moshi mjini
   
 19. M

  Mmeku Tukulu Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushabiki wa siasa usikuzidi hadi kumkufuru Mungu,Mungu halinganishwi na chochote kilichoko hapa duniani wala mbinguni. Usije ukawa unamuombea pigo mbunge wako kwa ushabiki wako ulojaa kiburi mbele za Mungu
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Wengine ndo akina nape, si afadhali mama minde walau atajisemelesha hapo ashindwe arudi kwake?
  ccm inahitaji kuhurumiwa saa hizi, mgonjwa haulizwi uji.
   
Loading...