Ulanga: Kukosekana chai kwazua tafrani kwa wajumbe wa CCM

SOTI

Member
Sep 9, 2011
79
22
Katika taarifa ya habari itv uvccm morogoro wamegomea uchaguzi kisa hawajapewa chai.Ila baadae walikubali kuendelea na zoezi.Duuh ccm kiboko chai tu izuie uchaguzi
 
halafu bila aibu,kiongozi wao anasema vijana wana copy na ku paste toka chadema!ccm ni majambazi
 
Hawa jamaa hamna kitu kabisa yaani kila kibaya wanachofanya wanasingizia chadema.Toka lini chadema wamegomea uchaguzi kisa chai
 
Aliyesema wanacopy na ku-paste mambo ya CHADEMA hana haja ya kupimwa kama ubongo wake una kansa.

Chama cha buku 2000' 2000. Bila rushwa hata makofi hawapigi
 
Imetokea huko Ulanga, wana CCM wameleta tafrani kisa chai imekosekana wakati wa mkutano na bila hofu wala shaka wakawa wanaonekana na camera wakizungumza kwa jazba kutokana na kukosekana kwa chai. Hapa ndipo nilipokumbuka kwamba hawa jamaa wapo kwa ajili ya takrima ndio siku ziende na siku ikifikia wagombea wataacha kutoa rushwa aka takrima kwenye mikutano kuna watu wengi ndani ya CCM ushiriki wao kwenye vikao utakuwa mashakani.

Inaonekana wamefuata chai hawa kwa jinsi walivyo na jazba na kiongozi mmoja akihusisha kitendo hicho ni utamaduni wa CDM
 
chadema inawanyima raha chichiemu !! na bado ngoja ifike2015 tutazoa viti vya ubunge 300.
 
Sijui Mh.Sumaye atasema hii ni aina gani ya rushwa?!kweli ccm ni viduku kwa kwenda mbele....
 
Back
Top Bottom