Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijazibwa Mdomo - Dr Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, Oct 7, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Jamani mwenye access na Mlimani TV amwangalie Dr Ulimboka sasa hivi anazungumza

  Updates:

  Hii ni habari iliyoandikwa na Tanzania Daima JumatatuOktoba 8 2012
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Anawataka madaktari wawe watulivu katika kuendelea na kazi zao na wasichoke kudai haki zao
   
 3. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Kwetu network inasumbua xana tupeni habari mpya.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  amekuwa ndaza kwa sasa
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  That is too casual! Anajua tunasubiri kusikia nini!
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huyu Baada ya kung'olewa meno na koleo akili yake haijarudi sawasawa, apewe muda
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kwa sasa anashughulikia zaidi afya yake kujua inakwendaje kisha atakuja kusema yote mbele ya safari yaliyomtokea
   
 8. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,275
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  aah,yasije yakawa ya mwakyembe tushachoka ati
   
 9. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mmmmmmmm
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ashajitenga na wenzake Daaaa kweli Fedha Mwanaharamu........
   
 11. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ilikuwa ni katika Jarida la habari inarudiwa tena saa tatu unusu kwa wale ambao hawajaona usiku huu
   
 12. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Dr.ulimboka hata kama jamii ya tanzania yote haitatambua mchango wako naamini wachache wenye bahati ya kuwa na upeo wa kuchanganua mambo wanakukumbuka.Leo Muhimbili haina heparin wala warfarin halafu comment juu ya unyama uliofanyiwa na serikali ya kikwete unashabikiwa,shame on u tz people...iko siku mtafunguka na mtakatana mapanga zaidi ya rwanda..take it from me,miaka si mingi
   
 13. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Usifanye mchezo na koleo wewe! Naskia jamaa sasa hivi akiona koleo tu anakimbia! Hata nyumbani anako ishi koleo ameipiga marufuku kuonekana! Ikitokea ameiona bahati mbaya halali nyumbani..
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,135
  Likes Received: 10,490
  Trophy Points: 280
  Huku hakuna umeme kyanzia saa 8:00 am mpaka sasa hivi..
   
 15. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Serikali hasa hii ya ccm achana nayo kabisa!
   
 16. s

  sony wega JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tena mumkumbushe kuwa zile kucha zake zimeota kule mabwe pande
   
 17. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  asante kwa taaRifa ngoja nione anachosema
   
 18. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  jamaa kawa mpole balaa...kweli magamba ni noma...
   
 19. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  tunachohitaj kusikia kutoka kwake anakifaham ila hatakisema yaleyale ya mwakyembe, hawa wajomba zangu wananiangusha sana
   
 20. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hata akisema utafanya nini?acha unafiki!
   
Loading...