Dr , mwakyembe tunaomba msaada wako tunafilisika wananchi wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr , mwakyembe tunaomba msaada wako tunafilisika wananchi wako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sony wega, Oct 9, 2012.

 1. s

  sony wega JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh waziri pole sana na majukumu yako ktk ujenzi wa taifa na ukubwa wa wizara yako kwa ujumla, tatizo letu sisi wanaichi ni kuhusu kuruhusiwa kwa uwingizwaji wa magari yaliyotumika zaidi ya miaka 10 toka limeundwa na kumbuka kuwa serikali ilikubali kuingiza haya magari kukuuu mpaka pale serikali itakapo kaa na kupata otenative yakuboresha zaidi na kuamaru watu waendele kuyaleta ila yawe na kiwango chakuridhisha lakini nafasi hii imekuwa tofauti kwa hawa wezetu wa SUMATRA hawataki kutusajilia mabus yetu kisa yamepitisha miaka kumi ili hali serikali yetu inakarabati tren yenye takriban miaka 50 ili ibebe abiria kutoka ubungo kwenda stesheni!? Sasa kwani mabus yetu aina ya toyota coster ambayo iko ktk hali nzuri kabisa ilo unambiwa kuwa halifai ?? Mh nilishawahi kukupigia cm ukasema kuwa magari yote yasajiliwea laini kwa ukaguzi makini yani kuangali ubora wa viti na matairi engen vilevile na muonekano uwe safi lakini nimekuja kwa hawa sumatra ilala kitengo cha daladala ni balaa mkuu kwanza pananuka rushwa maneno ya kejeli na yamaudhi na nikambiwa nitoe milion moja ndo gari isajiliwe na bila aibu afisa zone wa pale kwa jina CONRAD SHIO cm no, 0755660016 na 0787660016 aliniambia kuwa huyo mwakyembe hata akija hapa hapati usajili na hii ni baada yakumwambia kuwa mbona mh waziri amesema kuwa magari yawe na ubora mzuri ndo yapate usajili mpaka pale serikali itakapopanga utaratibu baada ya kujadiiana na wadau husika basi hayo do majibu aliyonipa zone huyo na vile vile akasema kuwa kuanzia namber T 000 BXA na kuendelea juu ktk daladala hakuna hata gari moja ambalo lina miaka nane yote niyazamani na walilazimika kutoa hiyo hela Tsh milioni 1 tukaenda kubadili mwaka TRA ili hata wakaguzi wakija wasijue kuwa niyazaman , sasa mh mwakyembe sisi wengine tunaletewa magari kama zawadi na jamaa zetu waliopo nje tunakuomba uwondoe utata huu uwambie tu kuwa watufanyie ukaguzi mabus yetu na watupe leseni ya biashara kwani ukiangalia TRA washachukua kodi yao na umelipia na fire pamoja na kodi ya mapato yani incom tax bila kusahau bima ila hawa sumatra leseni yao ya elfu 20 inanitia umaskini sisi wanyonge tukimbilie wapi mkuu tunakuomba baba, MUNGU AKUBARIKI
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaomba msaada kwa maslahi ya tumbo lako na si maslahi ya taifa?
   
 3. s

  sony wega JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok nimekusoma ila kaa ukijua wakazi wa jiji la dsm wanarudi kwa miguu majumbani mwao sio kwamba hawana nauli ila utakuta njumba moja kila mtu anamiliki gari ndogo na wote wanaekea posta au kkoo na kwenye foleni unakuta magari madogo yako 40 daladala yako sita na yote yamejaza hata pakupumulia hakuna na kumbuka kuwa dereva wa daladala hapendi folen yuko radhi awazungushe popote pale ili mradi muwahi makazini na vile vile magari nimachache saana kwani yalizuiwa kusajiliwa
   
Loading...