Unafiki wa CCM huu hapa, ni lini Uchaguzi ngazi ya Taifa unafanyika!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafiki wa CCM huu hapa, ni lini Uchaguzi ngazi ya Taifa unafanyika!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matola, Oct 8, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Imekuwa ni kawaida hapa kwa misukule ya CCM kusema vyama vingine havina Demokrasi, sasa kwakuwa huu ni msimu wa chaguzi upande wa CCM ningependa kujuwa fomu za kuwania Uenyekiti wa Taifa zinatolewa lini na wagombea wanaowania nafasi hiyo ni wangapi?

  Pia si vibaya nikijuzwa na upande wa makamu mwenyekiti, katibu Mkuu na mweka hazina, naomba wale wapenda Demokrasia ndani ya vyama tuanzie hapa kwanza.
   
 2. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haji mtu hapa kujibu. Labda umpigie Nape kama atakubali kumeza hii ndoano atakuja
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Wao kazi ni kumdanganya Zitto Kabwe tu, na yeye anashindwa kusoma Sinema ndogo za mgandisho kama hizi?
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Unataka chama tawala kiige mifumo ya wapinzani? chama tawala kina taratibu zake za kumpata mwenyekiti.
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Na misukule ya CHADEMA inasemaje juu ya demokrasia ya Urais kwa kupitia chama chenu?
  Nimesikia misukule mizee ikisema mswahili Zitto hana nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya urais atakiua chama-very democratic indeed!
   
 6. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulisikia wapi ccm wana demokrasia? Ndani ya ccm kuna demograsia kwa baadhi ya sehemu tu, viongozi wa juu ni untouchable!
   
 7. MANI

  MANI Platinum Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Mbona hata umri wake ni kikwazo au hilo hamlioni?
   
 8. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Unaumwa tumbo....tetea chama chako.....nape kwa kuweka makanjanja mitandaoni...angeweka vichwa labda vingemsaidia.

  Hopeless.
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Na wewe utakuwa kanjanja wa nani mkuu!
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  nafikiri katiba ya magamba inasema rais ndiye atakuwa mwenyekiti wa chama kwa mda wote akiwa rais..katibu anateuliwa na mwenyekiti...what a democracy!!!!
   
 11. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Na misukule ya masopakyindi inasemaje juu ya kugombea Urais kulingana na matakwa ya katiba?
  Nimesikia misukule hiyo ikidai mswahili Zitto apate nafasi, na mswahili huyu akiendelea na nia ya Uraisi ataisinginya katiba - very lawful indeed!
   
 12. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mag3, mleta mada kaanza andishi yake with a degregatory opening ambayo inapunguza hata hadhi ya mjadala.
  Tukianza kuitana misukule ndo tunaanza ku-realize hata masopakyindi na mtoa mada ni misukule,the walking dead.

  Reduces thinking into a snails pace, for want of a hit back instead of reasoning!

  Demokrasia si reserve ya chama chochote, tumemsikia jana Mzee Mzima Fredrick Sumaye akilalamika demokrasia inavyoporwa ndani ya chama cha Mapinduzi na watu wenye pesa zao,malalamiko ambayo yana resonate na watu wanyonge.
  Ndani ya CHADEMA ,mfano wa Zitto ni kitanzi cha demokrasia, everybody has his or her own right to be elected and to elect.

  Wana JF tukiargue on those lines, tunaweza kupanua our intellectual capacities.
  Tukikaribisha umisukule reasoning, we should know better!
   
 13. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  ambazo sio za kidemokrasia bila shaka
   
 14. m

  mamajack JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe popo umeulizwa kuhusu magamba,sema jibu sio swali.
   
 15. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Common sense dictates that, ukifikiri kidogo tu,na ukalipatia jibu swali langu, basi hata swali la awali utakuwa umelijibu.
  Somebody said , mamajack, common sense is not so common!!!
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana muulize sumaye ata kwambia hiki chama kilivyo! Hakuna demokrasia sisimweli haija wai kutokea!
   
 17. m

  mamajack JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  to hell with your senseless arguing.
  .
   
 18. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Dont expose your lack of intellect.
   
 19. m

  mamajack JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kichaa huona aibu kuongea ukweli.nenda cilos kasome vizuri.
   
 20. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  mamajack , una watoto?
  Yer thinking capacity resembles that of my kindergatten kid!
   
Loading...