Picha: Mh. Joseph mbilinyi (Sugu) alipofanya mkutano wa hadhara Uyole ya kati - Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Mh. Joseph mbilinyi (Sugu) alipofanya mkutano wa hadhara Uyole ya kati - Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, Oct 9, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Mh. Mbunge Sugu akiwasili katika eneo la mkutano..
  [​IMG]
  Mbunge Joseph Mbilinyi akiwahutubia wananchi..
  [​IMG]
  Wananchi wa Uyole kati Mbeya wakimsikiliza Mbunge wao
  [​IMG]
  Baadhi ya wananchi wakisikiliza mkutano wa Mbunge wao Joseph Mbilinyi
  [​IMG]
  Mbunge akiagana na wananchi baada ya kumaliza mkutano wake...
  [​IMG]
  Mh. Mbunge alipata fursa ya kula chakula na makamanda wa Uyole - Mbeya​

   
 2. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
   
 3. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Safi sana!! Tuko pamoja!!
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  Hivi ndivyo mbunge anatakiwa awe,ni kuwa karibu na wapiga kura,sio kama wengine wanaoogopa kufika hata mjimboni kwao,
  CDM for LIFE.
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Na mbeya waigawanye majimbo yawe mawili hili jimbo kubwa sana kwa mweshimiwa sugu peke ake, afu cdm tutayachukua yotee
   
 6. ugolo wa bibi

  ugolo wa bibi JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  safi kamanda na bado! hatulali mpaka walale wao,na hiyo ni mpaka kieleweke.....
   
 7. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  CHADEMA BABA LAO. CCM WATAISHIA KUPEPESA MACHO. JIIMARISHE PIA IMARISHA CDM YETU BABA TUKO NYUMA YAKO TUTAKUUNGA MKONO DAIMA. TUMECHOKA DHULUMA ZA CCM NA MAFISADi
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  No CHADEMA no LIFE in TANZANIA. Swallow a pit although it is bitter!
   
 9. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,885
  Trophy Points: 280
  Ujue haya mambo ya kina-sugu yanamuuma sana zitto kabwe
   
 10. M

  Mr jokes and serious Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sugu mjanja bwana,jamaa kwanza anakubalika sana mbeya.
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Safi sana kamanda Sugu maana unaonesha ni jinsi gani ulivyo karibu na wananchi wako.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Rais wa TFF....
   
 13. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  president of mbeya!
   
 14. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  More to come
   
 15. S

  Starn JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  What???
   
 16. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Chakula, chakula,chakula. Wali kuku ukichanganya na maji ya kilimanjaro lazima M4C ifanikiwe!
   
 17. Mlyandigwa

  Mlyandigwa Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  cna ubishi na huyu jamaa, ni jembe la ukweli namkubali..
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwanaharakati toka kitambo.
   
Loading...