Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumaye Hakutajwa Orodha ya Mafisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wambugani, Oct 10, 2012.

 1. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,734
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
 2. m

  malaka JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo kakutuma utukumbushe? Kama hakutajwa basi nae awataje sio kutuletea mipasho.
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,199
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,140
  Likes Received: 2,373
  Trophy Points: 280
  Ungesema hakuwa fisadi wa EPA na RICHMOND utaeleweka labda
   
 5. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,425
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Walimsahau, alitakiwa kuwemo kwenye ile orodha!! Kama asingekuwa fisadi angehakikisha kuwa wale wajumbe wa tume ya Warioba wamekula kiapo kabla ya kuanza kazi yao na hivyo ingewalazimu yeye na Mkapa kutekeleza yale yaliyopendekezwa; hawakuwaapisha makusudi na ndio maana hawakutekeleza mapendekezo ya tume kulinda ufisadi wao.
   
Loading...