Dodoma: Viongozi wa mkoa CHADEMA wapigwa mawe

lerai

Member
Oct 6, 2012
63
5
ni wakati wakilejea mkoani wame rushiwa mawe na watu wasio julikana na ili kua nikatikati ya kata ya mazae na mpwapwa mjini mara tu baada ya ku funga mkutano wa uzinduzi wa kampeni kata ya mpwapwa mjini
 
aliyeongoza kupiga mawe atakuwa Lusinde, mzee wa kudadadeki, na akienda Sumbwanga na kudadadeki zake harudi, analipuliwa radi
 
Siasa hizi na tabia hizi za kishenzi zinapaswa kukemewa vikali na wapenda haki na demokrasia wote!
 
watakua wamechokwa na wananchi

ni hali ilio ya kushangaza jana vijana na wazee nilio waoji kwenye mkutano huo waliniambia haija wai tokea tangu siasa ya vyama vingi vianze watu au umati mkubwa kama ule utokee kwa chama cha upinzani na watu kuchangia kiasi kikubwa ivo cha pesa kwa wapinzani sasa unapo sema wame wachoka sijui una maanisha ccm au chadema
 
Tumeshachoka masiasa yao kila siku.Hakuna kipya kutupotezea muda na kutupigia makelele.Siasa uchaguzi ukikaribia bwana sasa wenyewe kama sala waige hata marekani kidogo
watakua wamechokwa na wananchi
 
Tumeshachoka masiasa yao kila siku.Hakuna kipya kutupotezea muda na kutupigia makelele.Siasa uchaguzi ukikaribia bwana sasa wenyewe kama sala waige hata marekani kidogo

masiasa hayo unayo ya semea ni masiasa ya ccm au ni ya chama gani kwani ukisema masiasa ambayo watanzania wame yachoka ni yachama tawala sasa apo unapo sema masiasa yao ume yachoka badilika sasa!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom