Jee ingekuwa ni wafuasi wa CDM wamevunja uzio (ribbon) ya Polisi pale Kidongo Chekundu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee ingekuwa ni wafuasi wa CDM wamevunja uzio (ribbon) ya Polisi pale Kidongo Chekundu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Sep 22, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Wanajamvi nauliza hivi: Jee, ingekuwa ni wafuasi qwa Chadema ndiyo wamevunja uzio (ribbon) iliyowekwa na polisi pale kidongo Chekundu na kuingia uwanjani, ingekuwaje?

  Jee sasa hivi Chadema si ingekuwa tayari imefutwa? Polisi lazima wangeingilia na kutmbeza virungu na risasi, watu wangekufa na kulaumiwa CDM kwa "kutotii amri halali' ya polisi.

  Hivi katika mikusanyiko na maandamano ni Chadema pekee ndiyo inatakiwa kutii "amri halali' ya polisi?

  Hadi lini polisi wataendelea kutiwa vidole machoni namna hii na kukaa kimya, lakini huwa tayari, hata kuleta FFU kutoka mikoa mingine, kuhakikisha CDM wanatii 'amri halali" kutoka kwao?

  Kuna unafiki mkubwa hapa. Kuna bvaadhi ya viongozi hao wa dini wamewahi kutoa matamko ya kuilaani CDM 'kwa kutotii amri halali ya polisi" wakati kunaibuka virugu polisi wakiingilia mikutano yao.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hii faslafa ya IGP Mwema ya kutii amri bila shuruti - na nonsense nyingine - ina mushkeli mkubwa sana, na ndiyo maana hauleti matunda. Polisi wenyewe wanakiuka falsafa yao, sembuse wananchi?
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ewe mwenyezi Mungu ulie juu -- endelea kuwaumbua hawa mapolisi kwa dhamira yao mbaya dhidi ya nguvu ya umma. endelea kuonyesha ulimwengu kwamba wanatumika tu kisiasa, na siyo katika kutenda haki.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Zak Malang,

  Unataka kutuambia kwenye ule umati wa Waislam kulikuwa hakuna wanachama au wafuasi wa Chadema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Umesema mambo makubwa kiupambanuzi, Waandishi wa habari wangekuwa kweli wanaifanya kazi yao kimaadili wangepaaza sauti zao za juu kabisa kuhitaji majibu kutoka mamlaka husika.

  Kwa kukaa kwao kimya wanatoa nafasi ya watu wengine kuuwawa na jeshi la polisi kwenye mikusanyiko au maandamano yakiratibiwa na asasi zisizo za kiserikali, vyama vya siasa (kwa sasa chadema) ama raia wanapokua katika harakati za kufikisha ujumbe kwa mamlaka juu ya mambo wasiyoyakubali ama kwa kuwa yanakiuka katiba, taratibu za utawala ama haki za binadamu.
   
 6. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  fimbo ya nyoka hachapiwi mbayuwayu...................... Tupo tayari kwa lolote kama hao polisi wawachezee hao CDM (NGUVU YA UMA) tu na si UMAAT MOHAMMAD(S.A.W)
   
 7. g

  galimanywa Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Watoa vibali wanaamini kwamba CHADEMA inawakilisha mfumo wa Kikristo. Hawa waislamu wanaoandamana kila siku bila vibali wao ni sehemu ya dola na hii ni zamu yao, kama anavyosema riz1. Usichokijua ni nini? Hujui kuwa hapa nchini UDINI hivi sasa umeshajichimbia mizizi. Na walionyuma ya huu udini ndio hao hao wanaojifanya kuukemea kwenye majukwaa ya kisiasa. Fungua macho uuone
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hata kama walikwepo kwani yale yalikuwa maandamano ya chama?
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Chadema wana wafuasi au wapiganaji?
   
 10. r

  reformer JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  fools rush in where angels fear to tread
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  When you do comparison make sure to compare likes with likes. In this case it should have been CUF or CCM Vs CHADEMA.
   
 12. r

  reformer JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vp sheikh ponda..mnaenda lini kufunga ubalozi wa marekani na kuacha kutumia bidhaa zao?
   
 13. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hata kama miongoni mwao walikuwepo wanachama/wafuasi wa chadema ina maana hata chembe ndogo ya ufahamu wako inashindwa kukupa taarifa kuwa mkusanyiko ule haukuandaliwa na chadema na wala hakukuwa na matamko yoyote kutoka chadema!? sometimes unatia aibu kwa uwezo wako finyu wa kupambanua mambo, WAKE UP LAZY MIND!
   
 14. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama nimekusoma vile!
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280

  Excellent, aliyefananisha haya maandamano ni Zak Malang, ndio kasema wangekuwa Chadema? nakuuliza wewe mmejuaje kwenye ule umati pale Kidogo Chekundu kulikuwa hakuna wafuasi wa Chadema?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,839
  Trophy Points: 280
  sipati picha ingekuwaje maana nafikiri tendwa angekua keshafuta CDM fasta na tume zishaundwa kama mia hivi...na matamko ya kulaani ukiukwaji wa amri halali yapolisi yangekua yametoka kama mia hivi......
   
 17. F

  Froida JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Inawezekana wapo tena wengi tuu lakini kwa sababu hawakuingilia kwa kofia ya chadema tunauliza je wangeingia wakiwa na skafu na kofia za chadema wangeachwa au wangevurumishiwa na mikombola ya mabomu na kuuawa ,ishu hapa ni kwamba Polisi wanatumika kisiasa ,vipi iwe maandamano mengine halali na mengine si halali Ritz
   
 18. m

  mtznunda Senior Member

  #18
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  usifananishe dini na chama,chadema wakiandamana kwa ya ukristo halafu wanyimwi kibali hilo lingekuwa tatizo au chadema ikiandamana inawakilisha wakristo?
   
 19. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Acheni polisi wafanye kazi yao.
  Msiwapangie.
   
 20. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  wewe acha kujifanya hamnazo! anachomaanisha huyo jamaa ni kwamba: iwapo maandamano/mkusanyiko ule ungekuwa umeandaliwa na chadema na wakafanya matendo yale yale ya kuvunja sheria kama ya ponda na wafuasi wake(waislam), je reaction ya vyombo vya dola(polisi) na wanasiasa(ccm) ingekuwa kama tulivyoshuhudia?
   
Loading...