M4C, Mkoa wa Kilimajaro mmetusahau jamani hasa hasa Moshi (v) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C, Mkoa wa Kilimajaro mmetusahau jamani hasa hasa Moshi (v)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtabe, Oct 11, 2012.

 1. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa heshima na taadhima naomba nitoe ujumbe wangu kwa uongozi wa cdm mimi kama mwana m4c ambae nilizindua m4c pale naura springs hotel. Ktk mkoa mzima wa klm m4c bado haijafika kabisa hivyo basi naomba kutoa wito kwa cdm kuangalia upya ratiba ya m4c hasahasa moshi vijiji kwa kwa mh. Cyril chami. naomba kuwasilisha.
   
 2. M

  Magesi JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo la kilimanjaro hamna uongoz mzuri
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tatizo Hampendi kuchangia kikapu ndo maana tukaona tukija huko itakuwa hasara kwa chama wacha kwanza tukusanye mikoa mingine
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  M4c nadhani ni kwa ajili ya kwenda kuamsha waliolala, kwani Moshi kuna CCM au yamebaki majengo tu?
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Moshi wameshaamka hapo hata 1sec inatosha kabisa kueleweka ukizingatia huko hamna mambumbumbu not easy kurubuniwa sasa hapo hatutumii nguvu nyingi ,hapo tutakuja 1/10/2015 bado faida ipo
   
 6. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [Naaaaaam mkuu
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Moshi si ndo makao makuu ya CDM taifa.
   
 8. M

  Magesi JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jina lako na ulichokiandika ni sawa
   
Loading...