mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010, Benito Malangalila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Alikuwa anumwa kwa muda mrefu.
Alikuwa anumwa kwa muda mrefu.
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010, Benito Malangalila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Alikuwa anumwa kwa muda mrefu.
Pole kwa wafiwa na pole kwa ccm maana M4C inatisha
Polen....nilianza fikra za kujipanga kwa uchaguzi kumbe wa enzi zile......
Pole kaka siasa sio mlengo wako katafute fani nyengine.Polen....nilianza fikra za kujipanga kwa uchaguzi kumbe wa enzi zile......