Kwa nini UVCCM Taifa watu wanahaingaika na umakamu na sio uwenyekiti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini UVCCM Taifa watu wanahaingaika na umakamu na sio uwenyekiti?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crucifix, Oct 11, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwa nini UVCCM Taifa watu wanahaingaika na umakamu na sio uwenyekiti?
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Huenda nafasi ya uwenyekiti tayari imeshajazwa,kinachosubiriwa ni kutangazwa tu! Au madau ya wagombea bado ni kiduchu wanatakiwa waongeze.
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Kwasababu MWENYEKITI ni ZAMU ya ZANZIBAR; Kwahiyo NGUVU ni Makamu Mwenyekiti wanagombea...
  Mwenyekiti kwa Zanzibar sio tija kwao; Tunawabebesha hicho CHAMA...
   
 4. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Zamu ya Tanganyika lini? Maana yule waliyemtimua si alikuwa akitokea huko pia? Nakumbuka
  Nchimbi aliwahi kuongoza UVCCM lakini zamani
   
 5. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Mbona una maswali mengi? kwani we ni polisi?
   
 6. l

  luhwege Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hata ingekuwa wewe ungehangaika hebe angalia hii
  WATOTO WA VIGOGO WALIOPITA UVCCM NGAZI YA TAIFA
  1:Dickson Membe
  2:Fredy Lowassa
  3:Ridhiwan Kikwete
  4:Ashura Hussen Mwinyi
  5:Benny Samuel Sita
  6:Deborah Mwandosya
  7:Irene PInda
  8:Felister Ndugai
  9:Christopher Ndejembi
  10:Sharifa Bilari
  11:Hawa Kigoda
  12:Judith Mukama
  13:Jarome Msekwa
  Je wewe kwa hali hii utashindwa kuhangaikia ikiwa watoto wa vigogo wao wamechangamkia tenda ya kuinyonya chichiem? nani kakuambia hakuna ulaji huko.
   
 7. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  CCM bana, wana maneno! Sitta alipoonekana kwamba ni tishio kama angechukua tena nafasi ya Spika, wakaja na Zamu ya Wanawake, kigezo ambacho walijua hata Sitta angekwenda kwa Sangoma gani, asingeweza kukitimiza.
   
 8. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Mi nashangaa mnavyoogopa kuona watoto wa vigogo walivyomimininwa kwenye ngazi ya taifa ya UVCCM.
  Kwani UVCCM ina mamlaka gani katika hii nchi? Kinachotakiwa ni kuhakikisha mapinduzi ya kweli yanafanyika 2015.
   
 9. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  inspekta
   
 10. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Makamba Alishasemaga 'panya wa kanisani anakula biblia na wa msikitini anakula kuran'
   
 11. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  vipi jamani wamefanya uchaguzi wa umakamu mwenyekiti UVCCM? na vipi katika kipindi chote kuanzia 2007 sikuwai kusikia mwenyekiti wa UVCCM alikuwepo kweli maana nilikuwa nikisikia Benno tu ambae ni makamu?
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Yeah ni tangia NCHIMBI na yule Mwenyekiti wa CCM DAR; Yeye ndio aliyeanza Matatizo Mara anautaka URAIS kwa Upande wa CCM; Mara akakimbilia Upinzania Mara Amerudi alikuwa Mkuu wa Wilaya Sasa Ndie Mwenyekiti wa CCM Dar

  Lakini Mtu anayejua fika ni Kaka huyo hapo chini na Mabuti yake ya CCM...


  [​IMG]
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Kwenye Urais wanaigeuka wenyewe kauli yao.
   
 14. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,033
  Likes Received: 8,519
  Trophy Points: 280
  huyo mzee kwa misemo yuko juu.sijui kwanini walimtoa ukatibu wa chama.alikua ni mzee wa propaganda.
  Mkama hawezi.
   
 15. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,828
  Likes Received: 4,199
  Trophy Points: 280
  Wapo masangoma wa kubadilisha jinsia!
   
 16. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  madau ya wagombea hayawezi kuwa kiduchu, umeona majina yao?
   
Loading...