JF yapelekea Mkutano UDSM...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni mara baada ya kuwepo uzi uliosomoka 'Mishahara UDSM utata mtupu' uongozi wa UDSM umeitisha Mkutano wa wafanyakazi wote ambao utahutubiwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Simpho Mkandara.

Katika taarifa ya kiako hicho, kitakachoanza saa tano asubuhi hii Ukumbi wa Nkrumah, Mukandara atazungumzia hasa utata uliojitokeza kwenye mishahara ya wafanyakazi Chuoni hapo.

More to come...
 
Mkuu VUTA-NKUVUTE,
wanaJF wanavutana juu ya Tilte na Content, kwa mtu ambaye hajasoma ule uzi wako wa kwanza, itampatia tabu, ila hata mie nilijua baada ya siri kufuja JF ndio umeitishwa mkutano kumbe siyo, so napata tabu ku-connerct JF na hicho kikao... vuta nikuvute tunavutana hapo tu.

Sio JF walioitisha bwana, ni uongozi wa chuo..

lakini heading na content haviendani unaweza kurekebisha?
 
Last edited by a moderator:
Fasihi Mkuu...

sio fasihi mkuu
hapa kwako ni semantiki mambo yote yanayohusu utungaji wa sentensi na maana zake na utata wake
mfano juma anapaa, anapaa juu anapaa samaki, JF yaitisha mkutano UDSM , jf imeitisha yenyewe au imesababisha kuitishwa kwa huo mkutano.

sarufi
ni kanuni na taratibu za lugha mf. juma anakwenda shule, sio juma wanakwenda shule
fasihi andishi
ni uandishi wa kazi ya sanaa inayozaa mashairi riwaya na tamthilia ya kwako si riwaya,tamthilia wala ushairi.
mf
vuta nikuvute,shetani msalabani,pesa zako zinanuka, shida, kivuli kinaishi, miradi bubu ya wazalendo, janga sugu la wazawa, mashairi ya chekacheka na shaban robert,barua ndefu kama hii,dunia uwanja wa fujo,zawadi ya ushindi. mfalme juha,ngoswe kitovu cha uzembe,rosa mistika,dar-es-salaam usiku,alfu lela ulela,morani, kaptula la marx na kizibao cha lenin. na vingine vingi
 
Akhsante kwa somo wengine tumepata japo kidogo.
 
Ongeza na Ushahidi wa Mifupa, Siti Binti Saad,Hiba ya Wivu na Malenga Wapya.Asante Mkuu
 
pasi shaka twaongea lugha moja. nashukuru mkuu.
katika kazi ya fasihi andishi nayopenda kushinda zote ni kitabu cha mkufya kinaitwa ZIRANI NA ZIRAILI fani imetulia na maudhui mazuri kabisa. ukisoma huwezi kuacha.
 
lakini heading na content haviendani unaweza kurekebisha?

hahahah great thinkers wa siku hizi bwana! sikia bro jamaa anachotaka kueleza ni kuwa, thread iliyododndoshwa jf ndo imepelekea mkutano uitishwe UDSM! AU BADO NA HAPO!
 
sio fasihi mkuu
hapa kwako ni semantiki mambo yote yanayohusu utungaji wa sentensi na maana zake na utata wake
mfano juma anapaa, anapaa juu anapaa samaki, JF yaitisha mkutano UDSM , jf imeitisha yenyewe au imesababisha kuitishwa kwa huo mkutano.

sarufi
ni kanuni na taratibu za lugha mf. juma anakwenda shule, sio juma wanakwenda shule
fasihi andishi
ni uandishi wa kazi ya sanaa inayozaa mashairi riwaya na tamthilia ya kwako si riwaya,tamthilia wala ushairi.
mf
vuta nikuvute,shetani msalabani,pesa zako zinanuka, shida, kivuli kinaishi, miradi bubu ya wazalendo, janga sugu la wazawa, mashairi ya chekacheka na shaban robert,barua ndefu kama hii,dunia uwanja wa fujo,zawadi ya ushindi. mfalme juha,ngoswe kitovu cha uzembe,rosa mistika,dar-es-salaam usiku,alfu lela ulela,morani, kaptula la marx na kizibao cha lenin. na vingine vingi

Hapa kuna JF kuna wataalam wa lugha, potiticians, lawyers, theologians, academics, comedians, counselors, medical doctors, wasanii etc. Hapa ni kiboko.
 
Back
Top Bottom