Katibu Mkuu CCM Arusha aaibishwa ndani ya Mkutano Mkuu wa CCM....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu Mkuu CCM Arusha aaibishwa ndani ya Mkutano Mkuu wa CCM.......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Meitinyiku L. Robinson, Oct 11, 2012.

 1. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo ya kawaida Katibu wa CCM Mkoani Arusha amejikuta akiaibishwa na Mkutano Mkuu wa CCM baada ya kujifanya kusahau kumtambulisha Mhe. Edward Ngoyai Lowassa.

  Hili lilisababisha Mkutano mzima kupiga kelele kubwa wakisema bado! Bado! Bado! Bado! Bado! Bado! Bado! Bado! Eddo! Eddi! Eddo! Eddo! Eddo! Eddo....... Na hapo kwa aibu ndipo Mary akameza mate na kumtambulisha Mhe. Lowassa.

  Umati mzima ukasimama kwa vifijo na nderemo wakimshangilia muhusika

   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wewe kwa maelezo yako umeona aibu wapi hapo.Kama umekosa chakuandika soma za wenzako.
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ilitakiwa akili ndogo tu ambayo ni kumtambulisha EL, lakini kitendo hicho kitampandisha zaidi na zaidi EL. Siasa bwana, yataka timing nzuri.
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa mery yupo kambi gani?Yupo CCM asili,CCM JK ,CCM EDU au CCM Membe?
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  lanchi yangu ya leo ni ndizi za kukaanga mbili, na pande la ng'ombe. tam kinoma.

  karibuni lanchi.
   
 6. C

  Concrete JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Huyo katibu anapaswa kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu na chama.

  Anataka kujifanya hajui kama Edward Lowassa ndio dume pekee la Mbegu ndani ya chama cha mapinduzi, mgombea mteule ajae wa urais kwa tiketi ya CCM, kipenzi kikubwa cha wanaCCM Tanzania nzima, mtaji wa CCM wa uchaguzi wa 2015.....
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ccm ya makamba..
   
 8. C

  Concrete JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Huyu mama Mary Chitanda ni kambi ya ZILIPENDWA(Sitta Group)
   
 9. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Na wewe eti ni Great Thinker?
   
 10. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Kuna uzi niliuona hapa mapema leo kwamba merry chatanda ameitisha press conference arusha kumzodoa samwel sitta. Ni kweli jamani au kamba tu??
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hahaaaa, nilidhani utasema unazira kula
   
 12. C

  Concrete JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo zomea zomea mpaka akasalimu amri si mchezo, ni aibu kubwa sana kwa mtu yoyote kwenye majukwaa ya kisiasa.
   
 13. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  :gossip:
   
 14. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  duh TK Upo? Mgomo umeisha naona
   
 15. Magwangala

  Magwangala JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 2,005
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Ambao pia ni mtaji wa CDM iwapo atagombea kupitia CCM!
   
 16. only83

  only83 JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kweli mamvi amewavuruga sana vijana wa CCM..sasa hapo aibu ipo wapi?
   
 17. h

  hacena JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  wapi CCM SITTA
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Agenda kuu katika mkutano lengwa ni nini haswa??

  Member A town tuko wengi kushinda mikoa yote Bara na Visiwani.
  Ila tulioactive tupo kwenye thelathini tu!
  Shondola! Hebu jitokeze hadharani usomeke Kijana!

  Ni kinaendelea??
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Yan huyo katibu ana takiwa apate adhabu yani ana msahau kiboko ya Nape!
   
 20. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hata sijui ulitaka kusemaje!
   
Loading...