Picha: Freeman Mbowe aunguruma Kata ya Daraja Mbili, jijini Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Freeman Mbowe aunguruma Kata ya Daraja Mbili, jijini Arusha

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by nngu007, Oct 11, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145  [​IMG]
  Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa Kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha jana.
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa Kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha jana katika muendelezo wa kampeni za chama chake kuwania nafasi ya uwakilishi katika Halmashauri ya Jiji kupitia Kata hiyo. Mkutano huo nusura usifanyike hiyo jana baada ya kilichoelezwa kuwa chama hicho kilikosa eneo la kufanyia mkutano na hivyo kulazimiaka kufanyia nje ya ofisi za chama hicho Kata ya Daraja Mbili, ofisi ambazo ziko jirani na za mahasimu wao kisiasa, CCM.Aidha, ujio wa Mbowe haukujulikana mapema kiasi cha wananchi kushangaa kumuona jukwaani ghafla tu. Pia, Mh Mbowe hakuweza kumnadi mgombea wa chama hicho kwa kuelezwa kwamba alikuwa anashikiliwa na Polisi alikolazwa hospitali ya Mt Meru na hivyo kushindwa kuhudhuria mkutano huo.
  [​IMG]
  Godbless Lema nae akizungumza mkutanoni hapo.


  [​IMG]
  Juu na chini ni Sehemu ya umati wa watu uliojitokeza kusikiliza hotuba za viongozi wa Chadema. Katika mkutano huo, zaidi ya sh laki 3 zilichangwa na wananchi hao kusaidia kampeni zaidi za chama hicho katika Kata hiyo.
  [​IMG]
  PICHA / HABARI : KWA HISANI YA
  ARUSHA255 BLOG
  [​IMG]

   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Wako wapi CUF watuonyeshe NGUO na MALORI ? na Wananchi wanaoficha SURA ? ARUSHA...
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  chadema nakupenda kwa moyo wote
   
 4. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Jenga chama 2015 muondoe wasanii wanao jifanya ndo wanaongoza nchi
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,095
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  Songa mbele CDM....
   
 6. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Dalili nzuri kuwa ifikapo 2015 Thithiemu kifo cha mende! miguu juu! mguu pande!
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ajabu leo post inayomuhusu Mh Mbowe hadi sasa Ritz hajakurupuka na kucomment, lazima magamba yamepigwa sehem nye.. nyetiiiiiii

  VIVA CDM
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kifo cha ccm ni kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwaka 2015 ni mazishi tu...
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Itapendeza ikisomeka hv Kamanda!
  Ilizaliwa 1977
  Zika rasmi 2015
   
 10. 2

  2015 Senior Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hv haya magari ya mikutano kwann yanapelekwa arusha tu? na mpwapwa tunalitaka
   
 11. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kama kawa makamanda,tunataka kazi cyo kupiga majungu ya uraisi,wapi ritz?? wapi zzk?
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Next time muende Pemba, Unguja, Pangani, Rufiji, Mafia etc

  Sio kunguruma pande hizo hizo tu mwisho mtakuwa kama mnabweka
   
 13. P

  PJS Senior Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kifo cha CCM kimefika tayari,MUNGU ni mwema,vita hi tutashinda.
   
 14. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapo daraja mbili kuna uchaguzi kwa hiyo hapo ni kwenye kampeni siyo M4C
   
 15. s

  swrc JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata Msofe asipojitokeza kwenye kampeni bado atashinda kwa ushindi wa tsunami
   
 16. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  What are you trying to say?? Anyway, Huko ndiko kuna 95% ya wapiga kura wote Tz.
   
 17. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  Kweli tuko tayari kuwapa cdm dhamana kubwa kama hii??
  Bado nina was was na hii sera ya majimbo,machafuko yananukia..
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  hii nimeipenda bure!
   
Loading...