Kwa hili nimeamini kuwa Polisi wapo kisiasa pia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili nimeamini kuwa Polisi wapo kisiasa pia!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msafiri Kasian, Oct 11, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Jana kuna kitendo kilinishangaza Arusha,niliingia kwenye Zahanati ya Polisi pale Central(kwa wale wa Arusha wanafahamu mahali hapa) kwa sababu za kitabu tu.

  Nilipoingia pale Zahanati,wahudumu walikuwa ni Polisi waliovalia sare nyeupe(kama traffic police vile) na dada mmoja aliyekuwa amevaa kiraia(t-shirt yake ya Yanga na suruali) ambaye ndiye aliyekuja kunihudumia baadae.

  Katika ile sehemu ya kupumzkia wagonjwa huku wakisubiri huduma,kulikuwa na Polisi wengine wa kiume wanne waliokuwa wamevalia sare zao zile za khaki. Hawa walikuwa ni vijana kabisa wanatazama runinga kubwa iliyokuwepo mahali pale huku wakipiga stori.

  Ilipofika mida ya saa 6 mchana,taarifa ya habari ITV ikamwonyesha Mbunge wa Arumeru Mashariki,Ndg. Joshua Nassari akiwa Iringa anahutubia hadhira ya watu.
  Katika yake,Nassari alikemea kitendo cha yule mtuhumiwa wa mauji(sikumbuki alitaja mauaji ya nani) kutoroka mbele ya Polisi... Ndipo wale polisi nao wakaanza;

  Wa kwanza "hawa nao hawana sera kabisa..."
  wa pili "hawa kazi kuilalamikia polisi tu..."
  mwingine nae akadakia,"hawa ingekuwa kipindi cha Mkapa na Mahita wangekoma...",hapa aliongea akimahanisha rais Kikwete hawezi kuwafanya kitu.
  waliendelea na maneno mengine ya kejeli kwa CHADEMA kama vile,hawa wanapiga tu kelele majukwaani na mengine sikuyanukuu kichwani.

  Sasa tujiulize,kwa majadiliano kama haya miongoni mwa polisi yanaashiria nini?

  Mtazamo wangu: Hawa wakiambiwa,"nenda pale piga risasi wale...",watapiga tu na ndio maana mauaji ya raia wasio na hatia hayapungui,kwasababu polisi wanadhihirisha kutumika kisiasa.
   
 2. commited

  commited JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  wapo kisiasa tu hao, njaa zinawasumbua naelimu zao za vyeti feki
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  PoliCCM, usishangae sana
   
 4. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Acha dharau kwa binadamu wenzako bana! wana vyeti feki! Ulivikagua?
   
 5. Access Denied

  Access Denied JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  asilimia zaidi ya 50 wana vyeti feki wengine kazi za kurithi.
   
 6. n

  nyantella JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nyie vyadema kazi kulalamika tu kila kukicha, hivi mnafikiri itafika siku mpendwe na kila mtu? acheni utoto bana!!!
   
 7. i

  iseesa JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  USIJALI: CHADEMA ikichukua madaraka, Polis hao hao watageuka kuwa PoliCDM. Wanafunzwa kuzitii mamlaka zilizoko madarakani
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Hawa wanatiii mamlaka, au wanatiii amri za viongozi wa CCM? CCM na mamlaka ni vitu viwili tofauti kabisa.
   
 9. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wapo kisiasa wanatiwa kiburi na kikwete na mchimbi,wanaishi kwa rushwa na dhuluma mtaani hakuna anaewakemea na sasa hivi ndio wanatetewa mpaka na jaji ihema na teofil makunga...si ajabu kwa wanayoyasema.
   
 10. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wengi wanavyeti feki walikimbia umande wakapigika then wakatafuta vyeti mostly vya dv4,bt kwan kazi yao yahitaj kutumia akil?
   
 11. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  nimeshawasoma hao.
   
 12. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tatizo lao ni shule hakuna kwa walio wengi, inasikitisha kuwa na jeshi la vihiyo!
   
 13. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  mambo kama haya ndo tunayoshuhudia hadi mahakamani,mahakimu ndo wanaonekana kusahau haki za watu.
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Msafiri Kasian ungewauliza kama wameshapata mshahara wa September maana nasikia Epica9 inawatesa mpaka leo hola.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Lakini kumbuka kuna wale waloenda na vyeti saafi kabisa,hawa ni wale ambao upolisi ni wito kwao. Labda wenye matatizo ni wale tu wenye vyeti vya kuungaunga.
   
 16. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  ningethubutu kuwauliza kweli ili wajue nawasoma akili zao?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa polisi wanaipenda sana CCM kwa kuwa imewaacha wachukue rushwa watakavyo, wawabambikizie watu kesi hadi wachoke, wasiende kupambana na majambazi hadi wakiambiwa majambazi yameondoka na wazurure tu mitaani wakati wa kazi bila sababu za msingi...

  Jeshi hili la hovyohovyo linalonuka rushwa kamwe haliwezi kupenda chama kinachodhamiria kuangamiza ufisadi kama CDM kwani wanajua ndio kiama chao. Acha wafu wazikane wenyewe, CCM na Polisi, CDM na wananchi
   
 18. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kuna baadhi yao ni wapenzi wa CCM,kuna wengine ni wapenzi wa CDM, kuna wengine CUF. Hivyo mwavumilie tu. Lkini kisheria hawatakiwi kuonesha ushabiki wa vyama.
   
 19. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nani kakwambia kuwa polisi wanataka ma academcians? wao wana vyuo vyao vinavyofundisha taaluma yao sio u profesa! we vipi?! tii mamlaka.
   
 20. m

  mbezim New Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inawezekana hata wewe uelewa wako ni mdogo maana lazima watu kama hao wawepo kwenye Jamii, ndio maana kuna unyumbuliko wa kazi hatuzwezi wote kuwa sawa
   
Loading...