Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTENGETI, Oct 10, 2012.

 1. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  SALAM WANABODI
  Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Profesa Jumanne Abdala Maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni Diwani wa Kata ya Shighatini Mh. Enea Mrutu.
  Mali hizo ni mabasi makubwa ya kubebea abiria aina ya UTONG na Moja aina ya Scania yanayaofanya safari kati ya Dar na Arusha na malori mawili aina ya Mitsubishi FUSO ambayo kwa sasa Mh. ameyapeleka huko Kahama . Mabasi (KIRUMO CHARO) ambayo mheshimiwa Mbunge alikubaliana na Mhe. Diwani kuwa kwa kuwa yeye (enea) ana kampuni ya mabasi anaomba kutumia jina la Kampuni yake ya CHARO GENERAL SUPPLY LTD ili kufanya biashara hiyo kutokana na sababu za kiutumishi wake serikalini(kama mbunge na waziri). Ukichukulia status yake ya maisha hapa nchini haieleweki kwani alikuwa mtafiti huko malawi ndo akaja kugombea ubunge hapa mwanga tangu mwaka 2000.
  Sakati hili lilianza baada ya Mheshimimiwa Eneah kutumia kiasi kikubwa cha fedha wakati wa Kampeni za uchaguzi wa CCM kwenye jumuiya za Wazazi, UVCCM na Chama kwenye nafasi ya MNEC ambapo jumla ya Tsh 56,000,000 zilitumika kama Rushwa kwa wajumbe na kubahatika kushinda Jumuiya ya UWT tena kwa mbinde na wizi mkubwa wa kura. Mh. enea kwa sasa anatamba mtaani kuwa maghembe hana cha kumfanya kwani hawezi kwenda mahakamani kuhofia kuumbuliwa kuwa ni fisadi.
  naomba kuwasilisha.

  SOURCE: MHUDUMU WA OFISI YA CHARO GENERAL SUPPLY NA MIMI MWENYEWE
   
 2. Balungi

  Balungi Senior Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Mali ya wizi huisha hivyo hivyo
   
 3. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Amezitoa wapi?
   
 4. C

  Concrete JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mkuu japokuwa habari hii inaukweli fulani fulani kwa sababu watu hao ninawafahamu vizuri, lakini tupe ufafanuzi ni vipi Enea Mrutu ambaye ni mwanaumme mwenye umri wa zaidi ya miaka hamsini agombee UWT, UVCCM nk. tena kwa pamoja?
   
 5. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Unafanya mchezo mkewe mshono wa kwenye moyo umefumuka amerudisha india ghafla
   
 6. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Haki ya mola hakuna msafi TANZANIA hii. Sisi makabwela tutakula wali wa sh1000 kwa mama ntilie mpaka tushike adabu. :smash:
   
 7. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  wizara ya kazi , Utalii, Elimu na sasa maji
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ngoma droo kama alikwiba mali ya umma basi wajanja wametusawazishia
   
 9. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  yeye hakugombea ila kutengeneza team ambayo itawasapoti kwenye vikao vya uchujaji mnamo 2015 kwenye vikao vya chama chao! umenisoma mkuu
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Bao ni moja bila.
   
 11. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Kaaz kweli kweli
   
 12. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Subirini haya haya yatamkuta baba mwana Asha na mwanae watakapoachilia msonge,
   
 13. C

  Concrete JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Uko sahihi kabisa. Itakuwa vema kama utarekebisha maelezo yako vizuri kwenye thread uliyoianzisha la sivyo uta-mislead baadhi ya watu humu.
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Prof anafanya biashara ya fuso?
   
 15. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Kazi imeanza,laana itaendelea kuwatafuna mpaka kufika 2015 wote waliopata mali kifisadi zitapukutika!
   
 16. m

  mharakati JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Prof alikua researcher ni mtaalamu na alitumnia vizuri taalauma yake kujipatia $$...sema nafikiri bus mbili na fuso 3 haifiki gharama ya bil 1.labda yakiwa mapya.
   
 17. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sasa naelewa kwanini wezi wengi na mafisadi wanangangania chama cha magamba!!
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Walianza na Mwinyi sasa Maghembe,KAZI NZURI WANASTAILI PONGEZI
   
 19. kisururu

  kisururu JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acha adhulumiwe tu jinga kubwa kila wizara anayopewa inamshinda kum be hata akili ya maisha hana.
   
 20. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  kama vile riz1 atakavyozulumiwa malori yake na davids mosha
   
Loading...