Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko...
Wanabodi,
Japo kwa kifupi tu, Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni hii imemkariri Askofu Augustino Shao wa Kanisa la Katoliki Zanzibar akidai kwamba amepokea ujumbe kupitia simu ya mkononi kwamba...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Nape Nnauye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kufuatia madai ya uzushi na uongo aliyoyatoa tarehe 12...
Wakuu,
Siku nyingi sijawahi kuanzisha topic humu.
Nimekua nikifuatilia kwa makini vurugu za hivi karibuni, nikajaribu kuzifikiria kwa mapana na marefu.
Ninachoweza kusema ni kuwa Serikali yetu...
Rais KikweteWritten by Ghalib // 20/10/2012 // Habari // 8 Comments
Rais wa Tanzania Jakaya kikwete
Rais Jakaya Kikwete, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini...
Mh Mbowe aliwahi kusema; Tunahitaji Mjadala kujadili mustakabali wa Taifa letu.
Vyombo vya habari havikuipa habari hiyo uzito, Rais JK, Spika na CCM yao, kama kawaida hawachukulii kwa uzito...
Maeneo ya Msimbazi
Waandamaji
Mtaa wa Livingstone karibu na I&M Bank
Wanajeshi wakifanya doria maeneo ya Kariakoo.
Kariakoo
Maktaba House.
Muumini wa dini ya Kiislamu...
Ndugu wana JF nimelazimika kuleta thread hii mbele yenu ili tuweze kuijadili kwa pamoja kutokana na anguko la mara kwa mara la elimu katika taifa letu hili. Kwa wote wapenda maendeleo na...
Salaam wakuu
Katika muendelezo wa mjadala juu ya Amani ya Tanzania, Leo tupo katika sehemu ya Tatu na lengo lilikuwa kuzungumza na Viongozi wa Dini na Jeshi la Polisi.
Viongozi wa Jeshi la...
naomba dini zitengwe na siasa kiukweli. WAnasiasa wasiruhusiwe kuongoza harambee makanisani au misikitini. wasiruhusiwe kuongea kwenye makongamano ya kidini. wasiwe wachungaji wala mashehe.haya...
>>>>WANA JF,
Kumekuwepo na matukio mengi sana ambapo watu wanaojiita "Wanaharakati" wamekuwa wakijitokeza na kupiga kelele pale ambapo "wanafikiri" kuwa Serikali haitendi "haki" kwa kikundi au...
Akiripoti kutoka dodoma Mwanahabari wa STAR TV Amejulisha uma kuwa unafanyika kesho chuo cha mipango kwa kumchagua mwenyekit kati ya ANA KILANGO, SOPHIA NA MAIGE. Katibu wa jumuiya hiyo amewaasa...
Kwa kweli ningependa sana kusikia msimamo wa mwanaharakati Mzee Mohammed Said hasa kufuatia haya yanayoendelea leo hii nchini na hasa kitendo cha serikali kumkamata Shehe Ponda Issa Ponda na kundi...
Chama cha Wananchi CUF kinasikitishwa na matukio ambayo hayakutarajiwa kutokea hapa Zanzibar yaliyoanza kujitokeza jana tarehe 17/10/2012 ambayo yamesababisha vurugu kubwa katika Manispaa ya...
Walianza mmoja mmoja na hatimaye sasa linaonekana kuwa jeshi kamili linalotishia kujitwalia dola!! Nasema hivyo kutokana na ukweli kuwa vuguvugu za waislamu sio kwamba zimekuja ghafla, bali ni...
Leo huko dodoma kuna kivumbi ndani ya UWT ..kina mama wawili wanachuana vikali huku kukiwa na vijembe na kushutumiama, kugawa pesa na vitu kama hivyo ambavyo vimezoeleka ndani ya ccm.
Ni kati ya...
Wana Jf, kutokubali kukosolewa ndiyo kinachopelekea yanayojiri kipindi hiki baada ya waumini wa kiislamu kuanzisha taasisi tofauti(UAMSHO na jumuiya ya kiislamu),taasisi hizi zimekuwa zikivunja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.