Hakika ukimchekea Nyani utavuna mabua!!

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487

Walianza mmoja mmoja na hatimaye sasa linaonekana kuwa jeshi kamili linalotishia kujitwalia dola!! Nasema hivyo kutokana na ukweli kuwa vuguvugu za waislamu sio kwamba zimekuja ghafla, bali ni mkakati mwendelezo ambao ulianza kuratibiwa na watu wachache na hatimaye sasa wanatishia kujitwalia mamlaka.

Walianza kwa majaribio tu! Kwa kuanza kufanya mihadhara isiyo na kizuizi, kuandamana toka buguruni hadi jangwani bila kibali na hawakuguswa, likaja tukio la kuvamia makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani na kutoa amri kwa dola kuwaachia huru wote waliovunja sheria halali ya kukataa kushiriki sensa, na kweli serikali ikafyata mkia! Baada ya kuona huko kote wamefanikiwa, ikaonekana haitoshi na sasa wanatinga Ikulu. Tobaa!
Hakika ukimchekea nyani utavuna mabua! Rais wetu umepewa hadhari mara nyingi na wapenda amani lakini wewe uliishia kucheka tu na kusema hizo ni pepo za kupita, Je, leo yako wapi?
 
Nikweli Rais wetu anatuangusha sana. Ni mtu anachukua vitu simple tena vitu vinavyo husu maswala ya usalama wa nchi. Nashindwa kumuelewa anamanisha nini? Mim napenda kusema watanzania hatuamini kile tunakiona. Kwakwel J. K ametuangusha sana wa Tz. Jaman Rais mstaafu Benjamin William Mkapa anapaswa kupata tuzo maana kipindi chake alikuwa makini na maswala ya taifa National security. Ee Mungu tusaidie wa Tz
 
Walianza mmoja mmoja na hatimaye sasa linaonekana kuwa jeshi kamili linalotishia kujitwalia dola!! Nasema hivyo kutokana na ukweli kuwa vuguvugu za waislamu sio kwamba zimekuja ghafla, bali ni mkakati mwendelezo ambao ulianza kuratibiwa na watu wachache na hatimaye sasa wanatishia kujitwalia mamlaka.

Walianza kwa majaribio tu! Kwa kuanza kufanya mihadhara isiyo na kizuizi, kuandamana toka buguruni hadi jangwani bila kibali na hawakuguswa, likaja tukio la kuvamia makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani na kutoa amri kwa dola kuwaachia huru wote waliovunja sheria halali ya kukataa kushiriki sensa, na kweli serikali ikafyata mkia! Baada ya kuona huko kote wamefanikiwa, ikaonekana haitoshi na sasa wanatinga Ikulu. Tobaa!
Hakika ukimchekea nyani utavuna mabua! Rais wetu umepewa hadhari mara nyingi na wapenda amani lakini wewe uliishia kucheka tu na kusema hizo ni pepo za kupita, Je, leo yako wapi?

Rais na serikali dhaifu! Playboy president!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom