Mbengu mbovu ZINASUBIRI KATIBA MPYA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbengu mbovu ZINASUBIRI KATIBA MPYA!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by magemage, Oct 20, 2012.

 1. m

  magemage New Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba dini zitengwe na siasa kiukweli. WAnasiasa wasiruhusiwe kuongoza harambee makanisani au misikitini. wasiruhusiwe kuongea kwenye makongamano ya kidini. wasiwe wachungaji wala mashehe.haya ndio huleta hisia zisitalajiwa. tusiruhusu shehe kuubiri ukristo au mchungaji kuubiri uislamu. zimepandwa mbegu tumeacha zikue ndio tukate mimea. au na hili mpaka katiba mpya. tutenge dini kabisa na selikali na siasa
   
Loading...