Star TV uchaguz jumuiya ya ke CCM kesho usipoangaliwa taifalitapoteza dira; maon yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star TV uchaguz jumuiya ya ke CCM kesho usipoangaliwa taifalitapoteza dira; maon yako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Karibuni masijala, Oct 19, 2012.

 1. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Akiripoti kutoka dodoma Mwanahabari wa STAR TV Amejulisha uma kuwa unafanyika kesho chuo cha mipango kwa kumchagua mwenyekit kati ya ANA KILANGO, SOPHIA NA MAIGE. Katibu wa jumuiya hiyo amewaasa waache kupakana matope kwani ikijulikana hata kama mhusika ameshinda ata.enguliwa.
  ZAKIA MEGJI kasema wagombea wameridhiwa hiyo nafasi wanaweza utakuwa huru na wa haki
  FARAJI WA STAR TV, "Kwa kuwa ni wa wanawake na ni nguzo ya jamii usipokuwa huru na wa haki Taifa litapoteza Dira"
  Ni maoni yake yaliyoniacha hoi kwani siamini kama Taifa linaweza kupoteza dira kwa udhaifu wa jumuiya ya ccm ya wanawake.
  Nini maoni yako kwa uchaguzi huo kwa wagombea na zoezi zima la kupiga kura na kutangazwa kwa matokeo ya kumpata mwenyekiti na viongozi wengine.
   
 2. K

  Kanundu JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 891
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanzania yangu masikini weeee!!!! Kama hao ndiyo watakao kuwa viongozi, kweli CCM imekwisha kazi. Eti hao ndiyo cream ya CCM. Hii ni balaa.
   
 3. s

  sung69 Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimewaona wengi wao ni wanawake waliojichubua sana, sidhani kama bado watanzania tunategemea kundi hili tena kwa miaka ijayo, uswahili sasa basi so tuachane na hao ma mama mfilisi.:blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla:
   
 4. C

  Concrete JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Usiku huu Dodoma kuna umalaya wa hali juu.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Faraji Magaoha zaifu
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kupandana kama kupanda mahindi ya Kibaigwa.
   
 7. C

  Concrete JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sultani Jakaya amerejea kutoka uarabuni huenda anawahi kuhudhuria huo uchaguzi hapa Dodoma.
  Huwa anapenda vitu lainiiii.....
   
 8. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  :A S-alert1::bump:
   
 9. K

  KITENGE KOFIA Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuko na dira gani sasa ivi?hebu nikumbushe
   
 10. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  mbona ccm ilishapoteza dira toka 1985 ama huyu dada alikuwa hajazaliwa bado?asiwe mvivu akasome hotuba za Baba wa Taifa
   
Loading...