Asante JM Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asante JM Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpui Lyazumbi, Oct 19, 2012.

 1. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nasema hivyo kwa dhati. Tunaodhani waislam, umewaambia nchi hii ni ya watu wa dini zote na wasio na dini. Wametii. Shika hapo hapo RAIS.
   
 2. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hili jukwaa naona linapoteza mwelekeo, mtu anapost hata yuko usingizini, sasa umepost nini hapa tuchangie? Mods toeni hii trash humu!
   
 3. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Toa hii, hata ujumbe wenyewe haueleweki. watu wengine bwana!
   
 4. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  U post like mbunge wa mtera...
   
 5. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Inaelekea wengine huwa hawana hoja za kupost hapa, matokeo yake wanaleta upuuzi tu. Mods ondoa huu utumbo.

   
 6. Gogo la choo

  Gogo la choo JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 714
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nimecheka halafu nagonga kitufe cha LIKE:msela:
   
 7. l

  lufungulo k JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 1,267
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  jamani we great thinkers, tunashindwa kumuelewa mtoa mada. anashangazwa na kikundi kidogo kinachoongozwa na kafir Ponda kwa mgongo wa uislam.kutotii maagizo ya mkuu wa nchi hivyo anamkumbusha amiri jeshi kuwalinda raia wake wanaopenda amani na kuwashughulikia ipasavyo narudia ipasavyo wale wote wanaotaka kuchafua amani ya nchi hii.
   
 8. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma mkuu. Naona vichwa vya "diesel" vinakutukana tu. Umeongea uzuri kabisa
   
 9. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,345
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Inna Lillah wa Inna Ilayhi Raji'oon

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 10. k

  kisilo Senior Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona unajifurahisha kama sivyo wewe ni pompopo tu.
   
 11. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  This is Holy CRA.P
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Kiongozi wa AUMSHO "aliyetekwa" aibuka na kufanya mahojiano.

   
 13. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kama huna cha kuchangia, mimi nitakusaidiaje wakati uwezo wako umeishia hapo?
   
 14. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni wewe na uelewa wako tu, Hapa ndo JF.
   
 15. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nakusamehe bure, tazama Rep Power yako.
   
 16. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ni utoto, ukikua utaacha tu.
   
 17. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Umeongeza nyama vizuri. Tumeona vikosi vya jeshi mitaani, bado post haileweki ati! Mkuu tuko wengi hapa JF, fanya subira tu utajua nani hasa GT wa ukweli.
   
Loading...