Bw. Mohammed Said yuko wapi?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Kwa kweli ningependa sana kusikia msimamo wa mwanaharakati Mzee Mohammed Said hasa kufuatia haya yanayoendelea leo hii nchini na hasa kitendo cha serikali kumkamata Shehe Ponda Issa Ponda na kundi la vijana wa Kiislamu? Je inamkumbusha ile kamatakamata ya miaka ya sitini ambapo baadhi ya mashehe na wanasiasa wengine walikamatwa na aliyekuwa Shehe Mkuu kurudishwa Zanzibar?

Baadhi yetu tunatarajia kumsoma tena kwa makini akitupatia busara zake katika mlolongo wa matukio haya ambayo yanaonekana kuzidi kutugawa.
 
This retired & tired old man has nothing meaningful to feed us here. Trust me, akija hapa atazidi kuchafua tu hewa. Ngojeni muone
 
Kwa kweli ningependa sana kusikia msimamo wa mwanaharakati Mzee Mohammed Said hasa kufuatia haya yanayoendelea leo hii nchini na hasa kitendo cha serikali kumkamata Shehe Ponda Issa Ponda na kundi la vijana wa Kiislamu? Je inamkumbusha ile kamatakamata ya miaka ya sitini ambapo baadhi ya mashehe na wanasiasa wengine walikamatwa na aliyekuwa Shehe Mkuu kurudishwa Zanzibar?

Baadhi yetu tunatarajia kumsoma tena kwa makini akitupatia busara zake katika mlolongo wa matukio haya ambayo yanaonekana kuzidi kutugawa.

Huyu hapa, usimchoke tuu:

Mwalimu Julius K. Nyerere Kanisa Katoliki na Uislaam, Dola na Tatizo la Udini Tanzania
Mohamed Said

Mimi naona hii 'movie ya Sheikh Ponda' mnaichukulia very serious...
after one week tutakuwa tumeshasahau...

Leo hakuna anaezungmzia' movie ya Ulimboka' tena..

ndo Tanzania yetu hiii...

kila wiki ni new movie...
 
MzeeMwanakijiji, na wanabodi...
Tazameni kipande hiki kwa makini sana halafu tumia busara zenu..
Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Jamuhuri ya Tanzania mwaka 1985-1995.

[81] Warsha ndiyo jumuiya ya kwanza katika historia ya Tanzania baada ya uhuru kuanza kuwaanda Waislam na kupambana na dhulma zilizokuwa zikifanyiwa Waislam. Kwa kipindi chote cha uhai wake serikali ilikataa kukipa usajili. Hii ilikuwa heri kwao kwa kuwa kiliendesha kampeni zake chini kwa chini, kampeni ambazo zilileta mafanikio makubwa hasa katika kuwaelimisha Waislam kuhusu mbinu za adui. Warsha iliweza kufikia hatua ikachukua uongozi wa BAKWATA. Warsha haikudumu katika uongozi kwa muda mrefu. Serikali ikimtumia Adam Nasibu kwa mara ya pili iliweza kuwapiga marufuku vijana hawa wasishugulike na uongozi wowote katika jumuiya yoyote ya Kiislam. Hata hivyo athaari za Warsha zingalipo hadi sasa. Vongozi wengi wa jumuiya za Kiislam hivi sasa wamepata uamsho na mafunzo yao ya awali ya uongozi katika Warsha. Mwaka wa 1981 Warsha walifanya utafiti ambao ulikuwa haujawahi kufanyika kabla, Warsha walifanya utafiti katika elimu ya Waislam Tanzania. Utafiti ulionyesha Waislam walikuwa wana nafasi chache katika vyuo vya elimu ya juu. Taarifa ya utafiti huu ilisambazwa kwa Waislam wote wa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona hii 'movie ya Sheikh Ponda' mnaichukulia very serious...
after one week tutakuwa tumeshasahau...

Leo hakuna anaezungmzia' movie ya Ulimboka' tena..

ndo Tanzania yetu hiii...

kila wiki ni new movie...

Kama mkuu wa nchi anavyosema " NI UPEPO UTAPITA TU"
Msaidizi wake Pinda "LIWALO NA LIWE"
TUSUBIRI NEXT..... MOVE
 
MM Brilliant!
Mohamed Said tafadhali sana karibu tujadiliane.
Hapa namnukuu 'Tutafika mahali pa kuita EU na AU watusuluhishe'

Sioni kwanini serikali imkamate Sheikh Ponda. Nasema hivi kwasababu haya tunayo yaona tumeyasema sana hasa katika thread za Mohamed Said. Tumetahadharisha sana kuwa tatizo si jamii, tatizo ni kundi la wasomi wachache wanaowatumia watu wenye ushaiwishi katika jamii zao kueneza chuki.

Sheikh Ponda ni kipaza sauti tu, chuki hizi nadiriki kuzisema wazi kuwa zimejengwa kwa usimamizi wa Mohamed Said.
Namkaribisha Mohamed Said hapa! tuendelee pale tulipoishia na hapa tulipo leo.

Mzee Said, all these upheaval and unrest have significant link with you.
Mohamed you have the onus to come out and tell fellow Tanzanian what's going on!
 
Kwa kweli ningependa sana kusikia msimamo wa mwanaharakati Mzee Mohammed Said hasa kufuatia haya yanayoendelea leo hii nchini na hasa kitendo cha serikali kumkamata Shehe Ponda Issa Ponda na kundi la vijana wa Kiislamu? Je inamkumbusha ile kamatakamata ya miaka ya sitini ambapo baadhi ya mashehe na wanasiasa wengine walikamatwa na aliyekuwa Shehe Mkuu kurudishwa Zanzibar?

Baadhi yetu tunatarajia kumsoma tena kwa makini akitupatia busara zake katika mlolongo wa matukio haya ambayo yanaonekana kuzidi kutugawa.

Kapanda SPEED BOAT yuko YEMEN?
 
zomba TAFADHALI, na SAMAHANI Naomba UBADILISHE FONT za HABARI yako ili tuweze KUISOMA VIZURI... HII FONT inatekenya MACHO
 
Last edited by a moderator:
katika zaidi ya post mbili hapa JF, nilimwambia wewe ni tatizo, akanitusi. Kwa fujo zinazoendelea sasahivi Mohamed Said in my view hatoki salama huyu ni muhimu serikali imfuatilie kujua his ABCs zinazohusiana na fujo hizi, yeye ameshiriki vipi. Hata kama hahusiki serikali ni muhimu ikijiridhisha.

Ni nani anamfadhili Ponda? ajulikane, Je, Mohamed Said ndiye mfadhili? serikali ijiridhishe
 
zomba TAFADHALI, na SAMAHANI Naomba UBADILISHE FONT za HABARI yako ili tuweze KUISOMA VIZURI... HII FONT inatekenya MACHO

Nimeibandika kama ilivyo nilipoitoa, na mimi naisoma sawa tu na kama posts zingine zote, unapendekeza fonts zipi? au unaweza kubofya "reply with quote" ukai edit kwa font unayoipenda, ukaisoma, ukimaliza uka cancel kui post.
 
katika zaidi ya post mbili hapa JF, nilimwambia wewe ni tatizo, akanitusi. Kwa fujo zinazoendelea sasahivi Mohamed Said in my view hatoki salama huyu ni muhimu serikali imfuatilie kujua his ABCs zinazohusiana na fujo hizi, yeye ameshiriki vipi. Hata kama hahusiki serikali ni muhimu ikijiridhisha.

Ni nani anamfadhili Ponda? ajulikane, Je, Mohamed Said ndiye mfadhili? serikali ijiridhishe

Acha uongo Mohamed Said, kakutusi lini wewe na lini umefanyanae munakasha? Mohamed Said, hajawahi kumtukana mtu humu JF.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom