Si sahihi kwa ITV kuwapa Airtime uamsho kwa hali ilivyo sasa.

MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa airtime mwislamu aliyekeamatwa ikulu kutamka yale maneno ambayo ni wazi yanahamisha hata wale ambao walikuwa wameamua kutulia majumbani kuingia mtaani kutetea kile wanachokiamini.

Kwa wakati huu vyombo vyetu vya habari vyapaswa kuwa makini sana.katika Agenda Setting na Framinig la sivyo tutabaki kuangalia biashara huku amani tunaipoteza.Ni ushauri
 
wamefanya vizuri ili kesho wakiifuta uamsho wasijitetee kuwa ni jumuia ya kidini zaidi ya kikundi cha kigaidi.
 
Mwanzisha mada mpuuzi Kabisa unafurahia uOvu ukilindwa na ukweli ukifichwa? Inatakiwa ujue hawatakiwi kuficha chochote ili umma ujue chanzo ni nini hasa, na hii ndio njiaya kumaliza mgogoro, tulio mbali farid kapatikana wapi?
 
Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa airtime mwislamu aliyekeamatwa ikulu kutamka yale maneno ambayo ni wazi yanahamisha hata wale ambao walikuwa wameamua kutulia majumbani kuingia mtaani kutetea kile wanachokiamini.

Kwa wakati huu vyombo vyetu vya habari vyapaswa kuwa makini sana.katika Agenda Setting na Framinig la sivyo tutabaki kuangalia biashara huku amani tunaipoteza.Ni ushauri

A pig knows better!, wakati CDM wanaandamana ulikuwa unadai unataka wapewe air time? Leo kinachokustua ni nini?
 
Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa airtime mwislamu aliyekeamatwa ikulu kutamka yale maneno ambayo ni wazi yanahamisha hata wale ambao walikuwa wameamua kutulia majumbani kuingia mtaani kutetea kile wanachokiamini.

Kwa wakati huu vyombo vyetu vya habari vyapaswa kuwa makini sana.katika Agenda Setting na Framinig la sivyo tutabaki kuangalia biashara huku amani tunaipoteza.Ni ushauri

Mawazo ya namna hii ndiyo yanafanya vyombo vya habari vya serikali barani afrika kuwa kama vilivyo sasa. Tukiongelea uhuru wa kutoa habari tunamaanisha wote wapewa nafasi ya kutoa mawazo yao na jamii ijue ukweli wa pande zote.

Huyo mtu wa uhamsho amesema maneno ya kawaida kabisa na wengi sasa tumeweza kujua ukweli wa kikundi chao, na kama watafanya walivyoahidi basi tutajua ni wao, kuliko kufanya mambo yao na wengine kulaumiwa.

Hata yule jamaa wa ikulu tumeweza kujua ni kwanini kaenda pale, kuliko kama tungeonyeshwa polisi wakimpiga virungu kwa mbali wote tungebaki kubahatisha kwanini aliamua kwenda ikulu.

Hakuna mwenye haki ya kuwachagulia wananchi habari, lawama zote unazozisikia TBC ni kwa vile nayo ina tabia ya kuwachangulia wananchi habari.

UHURU WA HABARI NI HAKI YETU WOTE KIKATIBA

Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa airtime mwislamu aliyekeamatwa ikulu kutamka yale maneno ambayo ni wazi yanahamisha hata wale ambao walikuwa wameamua kutulia majumbani kuingia mtaani kutetea kile wanachokiamini.

Kwa wakati huu vyombo vyetu vya habari vyapaswa kuwa makini sana.katika Agenda Setting na Framinig la sivyo tutabaki kuangalia biashara huku amani tunaipoteza.Ni ushauri

mkuu kitasnia ya media, itv wako sahihi. ktk mambo ya media kuna slogan inasema "THERE IS NO NEWS LIKE BAD NEWS".
 
lazima waandishi wajifunze kutowapa hawa jamaa coverage kijinga na si hapo tuu wakiwa mahakamani,ilibidi isirushwe live kwani wanaweza jikuta wakitumiwa kuwafikishia hawa jama ujumbe bila jijua.
 
When words are many, sin is not absent, but he who holds his tongue is wise.:sing:
 
vyombo vya usalama vina uwezo wa kumzuia mtu kama sh azzan asitoe tamko.itv ipo kutupa habari tu!
 
Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa airtime mwislamu aliyekeamatwa ikulu kutamka yale maneno ambayo ni wazi yanahamisha hata wale ambao walikuwa wameamua kutulia majumbani kuingia mtaani kutetea kile wanachokiamini.

Kwa wakati huu vyombo vyetu vya habari vyapaswa kuwa makini sana.katika Agenda Setting na Framinig la sivyo tutabaki kuangalia biashara huku amani tunaipoteza.Ni ushauri

huna hoja wewe,kaa chini.
 
lazima waandishi wajifunze kutowapa hawa jamaa coverage kijinga na si hapo tuu wakiwa mahakamani,ilibidi isirushwe live kwani wanaweza jikuta wakitumiwa kuwafikishia hawa jama ujumbe bila jijua.

unataka watoe coverage kwa chadema na kanisa peke ake? Are these pple not part of this country?wewe ndio una haki peke yako?
 
Ukitaka kumjua mjinga ni mjinga kiasi gani, mpe nafasi ya kuongea. Kwa kuongea kwao tumewajua wao na nia zao.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom