BBC: Askofu Martin Shao wa Zanzibar atishiwa kifo; yadaiwa akimbia Zanzibar

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Wanabodi,

Japo kwa kifupi tu, Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni hii imemkariri Askofu Augustino Shao wa Kanisa la Katoliki Zanzibar akidai kwamba amepokea ujumbe kupitia simu ya mkononi kwamba maishan yake yapo hatarini kwamba ni sehemu ya watu wanaowindwa na wana Uamsho. Askofu Shao anashangaa ni kwanini serikali inashindwa kudhibiti kikundi hiki cha wahuni?

Aidha kuna TAMKO LA JUMUIYA LITATOLEWA LEO.

Mpaka sasa hakuna dalili yoyote kama Amir Farid ataonekanwa.
Lakini wajue hapatakalika tena hapa tutawachinja Mapadri na Polisi wote kama kuku.
Bububu wapnesha mfano baada ya kumchinja na kumua polisi moja kwa jina anatambulika Said.
Tunatakiwa tuwe makini na askari kanzu kwani wamenza kumagwa.
Tunaiambia Serikali hatukubaliani na tamko lao walotoa jana wao ndio wanahusika moja kwa moja..
Tunataka Amir achiwe kabla ya adhuhuri.
Tuachiwe Tupumuwe.

Hivi ni kweli serikali imeshindwa kuthibiti vurugu hizi? Hawa wahuni wanapata nguvu hizi kutoka wapi?
 
Hapo kwenye red hapo.. desperate situation needs desperate measures! heshima kwa serikali imeshuka sana huko zanzibar. Hii yote ni kuendekeza tolerance kwa watu wajinga asiothamini hiyo tolerance unayowapa na kwa tafsiri yao ya kijinga wanaona serikali inawaogopa. Nchi haiwezi kuwa na mihimili ya ajabu ajabu kama hawa uamsho. Wanaipa serikali ultimatum! who are they?
 
Mikutano ya Chadema Arusha Polisi waliua watu watatu, Morogoro mmoja, Iringa Mwangosi, Mbeya mmoja. Mazingira ya mikutano yote ya Chadema hayakuwa na mapambano yoyte. Iweje sasa Watu wanavamia wizara, wanaua polisi (FFU), wanachoma ofisi za CCM, wanachoma madhabahu na makanisa, wanatoa siku 7 kwa serikali, wanafanya fujo Kariakoo n.k lakini hata kwenzi tu hawapigwi. Kuna siri gani hapa?
 
Japo kwa kifupi tu, Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni hii imemkariri Askofu Martini Shao wa Kanisa la Anglikana Zanzibar akidai kwamba amepokea ujumbe kupitia simu ya mkononi kwamba maishan yake yapo hatarini kwamba ni sehemu ya watu wanaowindwa na wana Uamsho. Askofu Shao anashangaa ni kwanini serikali inashindwa kudhibiti kikundi hiki cha wahuni?
Aidha kuTAMKO LA JUMUIYA LITATOLEWA LEO.
Ninavyofahamu Askofu Shao ni wa Kanisa Katoliki au waanglikana nao wanae Askofu mwenye jina sawa na hilo? Juu ya serikali "kushindwa" kuwachukulia hatua wahuni wale jibu ni rahisi; mwasisi wa kikundi hicho yuko huko huko Ikulu; Maalim Seif na CUF yake ambaye kwa sasa yuko bize kuhamishia bara harakati hizo! Ni matunda ya muafaka hayo na waarabu wa Oman hawajaishiwa dola za kufadhili vurugu hizo ambazo lengo lao ni kuhakikisha Zanzibar inarejea chini yao. Mungu ibariki Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
mimi napiga mahebu vita vya kidini pale home kwangu sijui nitaanza na nani..hahahaa maana ni mvurugano full
 
Wakristo waoga sana
Rejea kukamatwa kwa Yesu, pale Petro alipojaribu kutumia panga kumshambulia mmoja wa askari wale wa kiyahudi. Yesu alimwambia nini? Ndivyo hivyo Mungu wetu hatumpiganii kwa mapanga wala kwa bunduki, badala yake ametufundisha kuwapenda adui zetu. Kama ambavyo yeye alivyomponya sikio yule askari hata kama alijua kwamba ni adui yake aliyefuata kumkamata Yesu.
 
Mbona Askofu Martin Shao ni wa Dayosisi ya Kaskazini KKKT huyo wa Zanzibar imekuwaje tena.. au ni majina yamefanana..Ila katika hali ya kawaida Shein asikubali na yeye kuwekwa kwenye kundi la watu wasioweza kufanya maamuzi magumu kwa hawa wahuni, Hii itawaharibia hata kwenye utalii maana Zenji imekuwa kitovu cha vurugu sasa...Uamsho wote wakamatwe na wachukuliwe hatu stahili
 
Hii habari inamigongano mingi,sidhan km inaukweli wowote..maana huko zenji nimeona kwenye habari kupo shwari kabisa,vurugu zilikuwa dar tu.
 
Wakristo waoga sana

Wanatumia Hekima na busara zaidi

Rejea kukamatwa kwa Yesu, pale Petro alipojaribu kutumia panga kumshambulia mmoja wa askari wale wa kiyahudi. Yesu alimwambia nini? Ndivyo hivyo Mungu wetu hatumpiganii kwa mapanga wala kwa bunduki, badala yake ametufundisha kuwapenda adui zetu. Kama ambavyo yeye alivyomponya sikio yule askari hata kama alijua kwamba ni adui yake aliyefuata kumkamata Yesu.

wastaarab.

Wanafikiria na kutumia akili
 
Wanabodi,

Japo kwa kifupi tu, Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni hii imemkariri Askofu Martini Shao wa Kanisa la Anglikana Zanzibar akidai kwamba amepokea ujumbe kupitia simu ya mkononi kwamba maishan yake yapo hatarini kwamba ni sehemu ya watu wanaowindwa na wana Uamsho. Askofu Shao anashangaa ni kwanini serikali inashindwa kudhibiti kikundi hiki cha wahuni?

Aidha kuna TAMKO LA JUMUIYA LITATOLEWA LEO.

Mpaka sasa hakuna dalili yoyote kama Amir Farid ataonekanwa.
Lakini wajue hapatakalika tena hapa tutawachinja Mapadri na Polisi wote kama kuku.
Bububu wapnesha mfano baada ya kumchinja na kumua polisi moja kwa jina anatambulika Said.
Tunatakiwa tuwe makini na askari kanzu kwani wamenza kumagwa.
Tunaiambia Serikali hatukubaliani na tamko lao walotoa jana wao ndio wanahusika moja kwa moja..
Tunataka Amir achiwe kabla ya adhuhuri.
Tuachiwe Tupumuwe.

Hivi ni kweli serikali imeshindwa kuthibiti vurugu hizi? Hawa wahuni wanapata nguvu hizi kutoka wapi?

Mnaweza kwani rais ni nyie, polisi ni nyie, mahakama ni nyie na kila kitu ni nyie! Kwanini msiipe serikali masaa ya kutekelezewa kile mnachokitaka? Haya bwana yetu macho.
 
Rais, Makamu wa rais, IGP, Mkuu wa TISS, Kamanda Kanda Maalumu, wote ni Waislam. Sasa ni nani anayewanyanyasa Waislam kama si akili ndogo tu za mbwa hawa!
 
Wanabodi,

Japo kwa kifupi tu, Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni hii imemkariri Askofu Martini Shao wa Kanisa la Anglikana Zanzibar akidai kwamba amepokea ujumbe kupitia simu ya mkononi kwamba maishan yake yapo hatarini kwamba ni sehemu ya watu wanaowindwa na wana Uamsho. Askofu Shao anashangaa ni kwanini serikali inashindwa kudhibiti kikundi hiki cha wahuni?

Aidha kuna TAMKO LA JUMUIYA LITATOLEWA LEO.

Mpaka sasa hakuna dalili yoyote kama Amir Farid ataonekanwa.
Lakini wajue hapatakalika tena hapa tutawachinja Mapadri na Polisi wote kama kuku.
Bububu wapnesha mfano baada ya kumchinja na kumua polisi moja kwa jina anatambulika Said.
Tunatakiwa tuwe makini na askari kanzu kwani wamenza kumagwa.
Tunaiambia Serikali hatukubaliani na tamko lao walotoa jana wao ndio wanahusika moja kwa moja..
Tunataka Amir achiwe kabla ya adhuhuri.
Tuachiwe Tupumuwe.

Hivi ni kweli serikali imeshindwa kuthibiti vurugu hizi? Hawa wahuni wanapata nguvu hizi kutoka wapi?

sasa huyu askofu ndio alie mteka shekh farid ? yaani baada ya kulaani shauri la kutekwa nyara analeta ufedhuli
asiwagombanishe wazanzibar
kwa kauli hizi itaonekana kama kanisa linahusika ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom